Hautoifungua kujua kuna nini??kama unahitaji mtu wa kukuletea document au parcel kwa bei ndogo piga simu no 0653620415,,,kwa mawakili na wanasheria pia unaweza kutupa document confidential ikafika sehemu husika ,, tuna bima ikitokea document imepotea ndani ya mikono yetu,, unataja value yak e una- be reimbursed.
karibu ,,, hapana, ndo maana nikasema tunadeal na confidencial things pia. it mean tunawajari wateja na kuheshimu kazi yetu. km unahitaji service ni call au nitext ulipo nikufuate tuzungumze business.Hautoifungua kujua kuna nini??
Kampuni yenu inaitwaje??
So hata kuniambia Jina la Kampuni yenu mpaka niku-call au text??karibu ,,, hapana, ndo maana nikasema tunadeal na confidencial things pia. it mean tunawajari wateja na kuheshimu kazi yetu. km unahitaji service ni call au nitext ulipo nikufuate tuzungumze business.
Umemaliza mkuuhuo utapeli wako peleka insta na fb huko
Mkuu inabidi awe na mikakati mizur ya kushawishi watu sio tu analeta mambo juu juuMsimuhukumu mapema wakuu! Inawezekana kijana amechoka kukaa mtaani ameamua ajiajiri kufanya 'umesenja'! Tatizo alichokosea amejitutumua as if ana kampuni au ofisi..
Kijana kuwa muwazi la sivyo ndipo hapo hisia za utapeli zinaingia!!
swali zuri sanaKwa mfano umepoteza cheti cha mtu cha kitaaluma,how do you manage refunding this?
kampuni inaitwa Unilever courier services ipo mwenge -kituo unashuka ITV-kama unaelekea makumbusho mkono wako wa kulia kama unatoka makumbusho mkono wa kushoto.-0653-620415.So hata kuniambia Jina la Kampuni yenu mpaka niku-call au text??
sio wote tapeli kaka, ndo maana nikakwambia kama unahitaji huduma niambie ulipo nije tuongee zaidi , kutumia media sometimes convincing power ni ndogo. ila haina shida ngoja nikuelekeze ufike;kampuni inaitwa Unilever courier services ipo mwenge -kituo unashuka ITV-kama unaelekea makumbusho mkono wako wa kulia kama unatoka makumbusho mkono wa kushoto.-0653-620415.huo utapeli wako peleka insta na fb huko
Nashukuru sana Madam Mwajuma ww uliyesoma, ila sio kila aletaye tangazo ni tapeli ! sometimes tunahitaji positive mind- iyo ni mojawapo ya personal development- ok ngoja nikueleze na karibu sana dada utembelee ofic zetu-kampuni inaitwa Unilever courier services ipo mwenge -kituo unashuka ITV-kama unaelekea makumbusho mkono wako wa kulia kama unatoka makumbusho mkono wa kushoto.-0653-620415.Tapeli ambaye hajasoma ni shida.
Nashukuru sana kaka kuwa muelewa, siku zote positive attitude ni nzr mno kuitanguliza km ulivyofanya,,,Asante,, na ukweli ni kwamba ofisi ipo ila napenda mtu akishakuwa interested tuongee face to face or through phone coz covincing power kwenye written ni ndongo mno,, ila pia nitamjibu mmoja mmoja ni kweli ofisi zetu zipo-kampuni inaitwa Unilever courier services ipo mwenge -kituo unashuka ITV-kama unaelekea makumbusho mkono wako wa kulia kama unatoka makumbusho mkono wa kushoto.-0653-620415. karibuMsimuhukumu mapema wakuu! Inawezekana kijana amechoka kukaa mtaani ameamua ajiajiri kufanya 'umesenja'! Tatizo alichokosea amejitutumua as if ana kampuni au ofisi..
Kijana kuwa muwazi la sivyo ndipo hapo hisia za utapeli zinaingia!!
Mkuu inabidi awe na mikakati mizur ya kushawishi watu sio tu analeta mambo juu juu
Ni kweli kabisa ila ndo maana nikasema kama mtu atapenda huduma nimetoa namba ili apige au anitext ili niweze kumpa maelezo ya kutosha ikiwa pia na business profile hili ni tangazo tu,, if some one is very serious interested anaweza kufanya ivyo,,, ila nashukuru kwa ushauri wako pia ,,,nitaufanyia kazi,,karibu kampuni inaitwa Unilever courier services ipo mwenge -kituo unashuka ITV-kama unaelekea makumbusho mkono wako wa kulia kama unatoka makumbusho mkono wa kushoto.-0653-620415.Mkuu inabidi awe na mikakati mizur ya kushawishi watu sio tu analeta mambo juu juu
kuna process za kufanya mtu mpaka akapata icho cheti withough incurring any cost,,, only companies cost. it means kutafutiwa cheti kingine ambacho kitakuwa na value km kile ulichokuwa nacho mwanzo,,, ila ofice yetu ipo very serious na service zetu inadeal na confidencial things,,,hatutegemei kitu kama icho kutokea but incase of inconvenience we will work on it.Kwa mfano umepoteza cheti cha mtu cha kitaaluma,how do you manage refunding this?
karibu ofisi zetu zipo ,,kampuni inaitwa Unilever courier services ipo mwenge -kituo unashuka ITV-kama unaelekea makumbusho mkono wako wa kulia kama unatoka makumbusho mkono wa kushoto.-0653-620415.kuna process za kufanya mtu mpaka akapata icho cheti withough incurring any cost,,, only companies cost. it means kutafutiwa cheti kingine ambacho kitakuwa na value km kile ulichokuwa nacho mwanzo,,, ila ofice yetu ipo very serious na service zetu inadeal na confidencial things,,,hatutegemei kitu kama icho kutokea but incase of inconvenience we will work on it.