Unakumbukaa enzi hizii...

Unakumbukaa enzi hizii...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
niaje wadau!!leo nimekaa nikafikiria enzi flani...kipindi tunakuwa[balehe],tulikuwa tunaambiwa na walio tutangulia eti ukitaka mwanamke umdiche...kunandenge flani weupe anamkia mrefu anaitwa[ndege msikitii]ukiweza kumuwinda na kupata manyonya ya mkia wake ni deal.eti ukiwa na msichana unaempenda,ukiona alipo kojoa ukiwiweka lile nyoa lazimaa utabatua...hizi zilikuwa saikologiiii tu.
 
Hii Avatar inanichanganya maana kuna mtu huwa anayo sijui ni muhsin kitu kama hicho fanyeni utaratibu basi
 
Ndege huyo anaitwa Msese yeye hadi kunguru anadinya achagui pakudinya ndege wote wake!!!
 
Kunguru wa zanzibar hao watakuwa.kama mligundua hilo la ndega na mama za hao mabinti waligundua njia ya kuwakata kucha hao ndege na kuwafungia kwenye shanga hapatwi mtu hapo
 
niaje wadau!!leo nimekaa nikafikiria enzi flani...kipindi tunakuwa[balehe],tulikuwa tunaambiwa na walio tutangulia eti ukitaka mwanamke umdiche...kunandenge flani weupe anamkia mrefu anaitwa[ndege msikitii]ukiweza kumuwinda na kupata manyonya ya mkia wake ni deal.eti ukiwa na msichana unaempenda,ukiona alipo kojoa ukiwiweka lile nyoa lazimaa utabatua...hizi zilikuwa saikologiiii tu.
Mkuuu wapi huko.?
Kutongoza awakujui .?
 
Aiseee.!!
nishafanya
sana izi mbishe
but sikufanikiwa,
Ulaaniwe sana
ulienidanganya
ivo
 
Back
Top Bottom