Unakumbuka wapi ukiona hii kitu

Unakumbuka wapi ukiona hii kitu

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,157
Reaction score
5,267
Hii kitu ilikuwa ina pendeza aisee...Yaani ukitinga na shati la Juliana..unaenda mnadani, saaafiii.
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    15.7 KB · Views: 1,089
Hahahahaaaaaa daaaah!

Umenikumbusha mbaaaaali sana aisee.

We have really come a long way.
 
DH===Dingi Hanauwezo, enzi hizooooo, japo sasa imerudi kivingine.
 
Kwetu vilipatikana BORA.kipindi cha Asante nyerere.


swissme.
 
Hii kitu ilikuwa ina pendeza aisee...Yaani ukitinga na shati la Juliana..unaenda mnadani, saaafiii.

Enzi izo ukiwa na hiyo we ndiyo wa maana sana ,,,,,,dingi hana uwezo
 
Kama ikichafuka, ukishafua kabla haijakauka unaing'arisha na chaki au kipande cha muhogo mweupe uliokauka
 
Enzi za "Chachacha" au "Saa sita utanikoma"
 
Back
Top Bottom