Hapo mwishoni tu umenipa mashaka.Siku niliyo andika kibarua kifupi cha mapenzi, kwa mrembo mpya alie hamia shule kwa kutumia karatasi ya big G na kukiweka kwenye beg lake.
Kikashikwa na mama ake, “that feeling” unapo kuwa umehisiwa wewe ndie umeandika kile kibarua ukaguzi wa miandiko ukaanza, kwakuwa mimi ni mwana intelijensia wa kuzaliwa, hawakuweza kunishika kwani mwandiko nilio andika kwenye kibarua haufanani na wadaftari.
Basi hadi leo nikikaa na jamaa zangu tukikumbushiana tunacheka sana.
Ujinga mwingine tulikuwa tukishindana kudindisha mkuyenge alafu mmoja anaubinya ukishindwa kuvumilia umeshindwa.
Mashaka gani?Hapo mwishoni tu umenipa mashaka.
Alafu siku hizi unakimbilia kwa wamasai ukitafuta dawa kuongeza nguvu za kiume,kumbe umezimaliza mwenyewe kwa ujinga wenu wa kuminyana minyana
Wazazi chunguzeni watoto wenu tuokoe taifa la kesho..
Hapo mwishoni tu umenipa mashaka.
Alafu siku hizi unakimbilia kwa wamasai ukitafuta dawa kuongeza nguvu za kiume,kumbe umezimaliza mwenyewe kwa ujinga wenu wa kuminyana minyana
Wazazi chunguzeni watoto wenu tuokoe taifa la kesho..
Pale treni inapojaribu kuchepuka kutoka nje ya reli. 😀😀😀Nahisi kama mlikuwa mnaweza kuminyana p***u na **** basi hata kumegana kizamu zamu ulishawahi kucheza hako kamchezo.
[emoji23] [emoji23] wavulana ndio ilikua mchezo wao huoBaadhi ya wanafunzi walikuwa wananyoa upara, mtu akiona mwenzio ana upara anaweka mate kiganjani halafu anagusa mchanga ukinata kiganjani anaenda kumpiga mwenye upara kichwani
Yote hayo nilifanya kikubwa nilianzisha band ya muziki wa dansi ya darasa. Bahati kulikuwa na ujenzi wa madarasa shuleni mafundi waliacha mabati darasani. Mwalimu akitoka tunapanga mabati kwenye kona halafu wanamuziki tunaingia kuanza kuimba tunamweka mtu mlangoni aangalie mwalimu anayefuata kama anakuja anatushtua. Basi ala zote zinapigwa na mdomo wakati ule Marijani na Sikinde wanatamba mimi naimba nyimbo zote,,,,,,,,Mwana meka, Mzee saidi sasa siku moja mllinzi wetu kaenda chooni Mwl kaingia kasikia mziki unaunguruma kwenye kona nyuma ya mabati akasikiliza kidogo maana tulikuwa tunacheza pia akaja akatoa mabati akakuta tunakata mauno akatuchukua hadi ofisini tukapewa adhabu ya kuimba mbele ya wanafunzi wote. Ndo ikawa mwisho wa vipaji.Tulikua chama kuu watu watatu.. Kupiga kelele darasa zima tunaongoza, sasa alikuwepo monitor wetu mkubwa mkubwa hivi.. Anacharaza bakora over ticha.. Ikafika hatua mwl akija anaita majina yetu kwanza ndipo anachukuamajina ya wapiga kelele... Pia nilikua mtaalam wa kukimbizana kwenye madawati... Kuna siku nilikulaga mzinga almanusra nizime... Shule ya msingi raha sana...
Hiyo Kali....Nilikuwa mpiga kelele namba moja, sasa siku moja sikuja shuleni, nikasimuliwa na wenzangu kuwa mwalimu alikuwepo darasani anasahihisha madaftari. kukawa na kelele, mwalimu bila kuangalia ni nani anapiga kelele akawa amekariri kuwa ni mimi hivyo akiwa ameinama hivyo hivyo nasikia afoka weeee E... acha kelele (E... ni mimi) na hali siku hiyo sikuja kabisa shule
Umetixha.....Kuna mwalimu mmoja wa kike alikua anatuchapa sana , Sasa siku moja akanichapa nikavunga nimepandisha mashetani. Nikaanza kupiga kelele eti waaaai waiiii ninataka nyama. Mwalimu kusikia hivyo alikimbia ofisini, tokea siku hiyo sikuwahi kuchapwa na mwalimu yeyote.
hahahaahhah, ndio hivyo bwana!Hiyo Kali....
Weka picha yako tafadhaliMimi shule nilikua mtundu mpaka kero nakumbuka tumeshawahi kwenda kuvamia nyumban Kwa wazazi wa mwanafunzi mwenzetu tukimtuhumu kwamba ameiba jipime la kiswahili......
Tulitia fujo sana ndani ya hiyo nyumba vuruga kila kitu.... Tukajiona wajanjaaa kesho yake asubuhi paredi mwalimu mkuu akaja na kikaratasi akasema: kuna majina ya majambazi nitayasoma hapa ukisikia jina lako toka mbele....... Uuwiii mimi ndo nilikua wa kwanza kuitwa kibaya wote tulikua watoto wa kike watupu.... Aibu yake mbele ya wanafunzi mia nane si mchezo.....
Tukalimwa barua za kuwaita wazazi tukapigwa faini wazee wakalipa maisha yakaendelea
Kwakweli babangu kapata tabu Sana pindi nipo primary na O level ....
Nlikua nasumbua Kama nina limwili likubwa kumbe ni kadogo ka piriton
...
Utoto raha sana nimemiss shule ya msingi kwakweli kuruka kwenye madawati na kupiga makelele
Hahahahaha si vizuri ila ingetokea umeniona ungecheka sanaWeka picha yako tafadhali
Ndyo maana siku hizi upo kama pigNalikuwa km kondoo wakati niwapo shule
Haya bana,ni mkoa gani huo ulikua? Nianze kuguessHahahahaha si vizuri ila ingetokea umeniona ungecheka sana
Kwenye kubinyana penis hapo bado kidogo mmengekuwa mashogaSiku niliyo andika kibarua kifupi cha mapenzi, kwa mrembo mpya alie hamia shule kwa kutumia karatasi ya big G na kukiweka kwenye beg lake.
Kikashikwa na mama ake, “that feeling” unapo kuwa umehisiwa wewe ndie umeandika kile kibarua ukaguzi wa miandiko ukaanza, kwakuwa mimi ni mwana intelijensia wa kuzaliwa, hawakuweza kunishika kwani mwandiko nilio andika kwenye kibarua haufanani na wadaftari.
Basi hadi leo nikikaa na jamaa zangu tukikumbushiana tunacheka sana.
Ujinga mwingine tulikuwa tukishindana kudindisha mkuyenge alafu mmoja anaubinya ukishindwa kuvumilia umeshindwa.
Hahahahaha mkuuNdyo maana siku hizi upo kama pig
Hahahahaha kule walikoanzisha vita vya majimaji atiHaya bana,ni mkoa gani huo ulikua? Nianze kuguess
Haaah haaaah Nimekaa bomba mbili week 3 lodge inaitwa Victoria ,Baada ya hapo nikapanga maeneo hao,nikakaa na litorjr mwezi mzimaHahahahaha kule walikoanzisha vita vya majimaji ati