Kama nakuona vile jinsi unavyopiga kelele hadi unawasonya wenzio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]nilikuwa mpiga kelele shule nzima kiasi kwamba nikienda madarasa mengine tofauti na letu nafukuzwa kichizi
mungu ni mwema si mpiga kelele tena[emoji4]
Daaah!! Kumbe mpo humu....Siku niliyo andika kibarua kifupi cha mapenzi, kwa mrembo mpya alie hamia shule kwa kutumia karatasi ya big G na kukiweka kwenye beg lake.
Kikashikwa na mama ake, βthat feelingβ unapo kuwa umehisiwa wewe ndie umeandika kile kibarua ukaguzi wa miandiko ukaanza, kwakuwa mimi ni mwana intelijensia wa kuzaliwa, hawakuweza kunishika kwani mwandiko nilio andika kwenye kibarua haufanani na wadaftari.
Basi hadi leo nikikaa na jamaa zangu tukikumbushiana tunacheka sana.
Ujinga mwingine tulikuwa tukishindana kudindisha mkuyenge alafu mmoja anaubinya ukishindwa kuvumilia umeshindwa.
Wamo mkuu aka kidudu cha ulcers H.pyloriDaaah!! Kumbe mpo humu....
[emoji1] ! Ndio mwenyewe, ila naimani umebadili mpinzani kwenye mashindano yenu yale.......Wamo mkuu aka kidudu cha ulcers H.pylori
Dah!!! Kweli tabia za kitoto hufanana.Nakumbuka ile michezo ya kuwawekea kioo wadada tuone chupi zao... Kuna mshkaj wangu alimwekea mwalim daah
Natamani nikuone live.. Ha ha hassssSiku niliyo andika kibarua kifupi cha mapenzi, kwa mrembo mpya alie hamia shule kwa kutumia karatasi ya big G na kukiweka kwenye beg lake.
Kikashikwa na mama ake, βthat feelingβ unapo kuwa umehisiwa wewe ndie umeandika kile kibarua ukaguzi wa miandiko ukaanza, kwakuwa mimi ni mwana intelijensia wa kuzaliwa, hawakuweza kunishika kwani mwandiko nilio andika kwenye kibarua haufanani na wadaftari.
Basi hadi leo nikikaa na jamaa zangu tukikumbushiana tunacheka sana.
Ujinga mwingine tulikuwa tukishindana kudindisha mkuyenge alafu mmoja anaubinya ukishindwa kuvumilia umeshindwa.
Ha ha ha iliii!!! πππNatamani nikuone live.. Ha ha hassss
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe jamaaKuna mwalimu mmoja wa kike alikua anatuchapa sana , Sasa siku moja akanichapa nikavunga nimepandisha mashetani. Nikaanza kupiga kelele eti waaaai waiiii ninataka nyama. Mwalimu kusikia hivyo alikimbia ofisini, tokea siku hiyo sikuwahi kuchapwa na mwalimu yeyote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nakumbuka tulikuwa tunashindana kufuga MA.VU.Z tukiwa shule, basi kuna MUHA mmoja alikuwaga ni balaa, alikuwa akivaa boxer hadi inakuwa imetuna.
Baadhi ya wanafunzi walikuwa wananyoa upara, mtu akiona mwenzio ana upara anaweka mate kiganjani halafu anagusa mchanga ukinata kiganjani anaenda kumpiga mwenye upara kichwaniNilikua napiga wenzangu kwenye visogo halafu nainama chini akigeuka haoni mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na akiniona hizo mbio zake miguu insfika kisogoni.