Complicated history...
Nimesoma shule zaidi ya moja...
1. Borenga primary.. Serengeti-Mara region..
2. Kwata primary.. Korogwe Tng
3. Mwenge primary.. Dodoma region
4. Nyanza primary (nyanza C).. Mwanza.. Hapa ndipo nilipomalizia mwaka 2005..
Kama kuna classmates wangu hum plz tutaftane..
acha utani... nyanza 'c' umemaliza 2005!!! aaaah mi nilikua nyanza 'a' that time
kweli mkuu!!
nimemalizia C by that time...
nilikuwa chini ya mkuu wa shule anaitwa Lemunge!
vp nawe, unamkumbuka h.teacher wako?
Habari zenu!
Nimepata wazo la kutuunganisha na kutukumbusha mbali,kama sio sisi wenyewe basi tutawakumbuka hata baadhi ya watu kama wanakijiji,waalimu,wenyeviti wa kijiji,mashekh,mapadri n.k.kwa wale wamjini unaweza tupia mkoa na eneo na story zikaendelea.
Tupieni shule za msingi tulizosoma ikiwa ni pamoja na kijiji au kata iliyopo shule hiyo tuone wanajf wangapi watakuwa walishea shule na vijiji kizawa na kimasomo.
Tutiririke!!!!
We gauni kweli swala la ukabila hapa limetoka wapi?
Naanzisha!!
Mimi nilisoma kijiji cha kilamfua (w)rombo mkoa kilimanjaro
Namkumbuka bus la mrike na masaseni ezi hizo!!
Anayetokea maeneo hayo aje tuendelee na mastori ya pande hizo
Namkumbuka sana padri babu alivyokuwa anasoma ibada fasta fasta ili akavute sigara dah RIP babu.