Unakumbuka nini?

Unakumbuka nini?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,177
Reaction score
1,743

UWE NA SIKU NJEMA
 
Last edited by a moderator:
Nimekumbuka hiyo TV.......ilikuwaga kwa kina Angela..........shida tupu........
 
Nimekumbuka hiyo TV.......ilikuwaga kwa kina Angela..........shida tupu........

ina Angela ndo walikua na TV mtaani kwenu enzi hizo?
kweli tumetoka mbali
sinema za 'commando kipensi na commando john' ndo mlitazama kwa kina Angela?
 
ina Angela ndo walikua na TV mtaani kwenu enzi hizo?
kweli tumetoka mbali
sinema za 'commando kipensi na commando john' ndo mlitazama kwa kina Angela?

Kwao kina Angela walikuwa nayo........basi kila mtu anajipendekeza kuwa rafiki yake........yaani mpaka kazi tulikuwa tunamfanyia..... ili tu uingie kwao ukaangalie tv.........
 
Kwao kina Angela walikuwa nayo........basi kila mtu anajipendekeza kuwa rafiki yake........yaani mpaka kazi tulikuwa tunamfanyia..... ili tu uingie kwao ukaangalie tv.........

aisee sipati picha
enzi hizo watu wana shoot harusi halafu hawana tv
wanaenda kuomba jirani watazame mkanda wao wa harusi...tumetoka mbali
 
Nakumbuka kuna sehemu ilikuwa kiingilio cha kwenda kuona kideo ni kununua kaukau au ubuyu
 
Kombe la dunia mwaka 1990 tulikuwa tunaenda kwa Bharesa Kariakoo,watu nyomi mbaya daah kitambo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom