Walah yule mchunga ngo'mbe aliwasumbua wanajiofanya wao ni watoto wa mjini, eti kisa vikao vyao wanafanyia katikati ya mji wa dar.wakajiona ni wajanja wa kilakitu.Hawakujua mteseka juani ndo mbunifu wa mbinu za maangamizi,CCM ilikua tunawaaga msimu huu.