Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Wakuu wakati tuna subir post za TCU eb tujikumbushe machache tukiwa shule ya msingi. Karibu.
mm nakumbuka kusugua mbegu ya ubuyu ukutani hadi inakua ya moto kabisa halafu unamuunguza jiran yako hapo pembenWakuu wakati tuna subir post za TCU eb tujikumbushe machache tukiwa shule ya msingi. Karibu.

Nakumbuka kasuku langu lile la mafuta ya "kimbo"ile ya nusu lita nilikuwa nanyweaga uji!!dadeki nakuwa wa kwanza kupokea naenda fasta kuupooza na kunywa na narudi tena kwenye foleni!!!Wakuu wakati tuna subir post za TCU eb tujikumbushe machache tukiwa shule ya msingi. Karibu.