Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,044
- 21,765
Kweli, tunatoka mbali!Bi mkubwa alipika mboga nyingi tule mpaka usiku,akaniagiza nikaepue jikoni,Mimi na haraka zangu nawaza rede nikachukua shina la mgomba nikashikia Ile sufuria si ikatereza bhana๐๐๐๐๐๐ mboga yote mwaaaaa,nilichezea kichapo Sio cha nchi hii!!
Utoto Raha!-Kombolera-Leo-Tiyariiiii....badooooo....!
Na kukuomba mboga!Mengi sana
Hadithi za Jioni:
Kusimuliwa hadithi za kale na babu au bibi karibu na moto.
Nyimbo za Shuleni: Nyimbo za mchakamchaka na gwaride la asubuhi kabla ya kuingia darasani.
Kula Pamoja: Kushiriki chakula sahani moja na marafiki au ndugu.
Sana!Kweli, tunatoka mbali!
Kukomba mbogaNa kukuomba mboga!
Kwa hiyo umeacha kupenda kusoma?Nilikuwa napenda shule sana
Ukawa kama unamiliki AK_47!Daah Nilikuwa mbabe mtaani kisa namiliki manati
Haturudi Tena Huko, Mungu atulinde Kwa kweli!Nilikuwa napenda sana michezo dah! those better days ๐
Kuzurula Kila mtu limemkuta, labda wazubavu .Nilikua napenda kucheza na kwenda kuzurura Bila ruhusa.Hapa kwenye kwenda kuzurura ndo nimepigwa Sana kwa ajili hiyo.Nna mwanangu mmoja kwenye hili alitaka kunirithi ila mazingira hayamruhusu.
Kabisa mkuu ๐Ukawa kama unamiliki AK_47!
Utoto Raha,hauwazi tutakula nini,siku inaendaje,Huku wazazi/Walezi ,wanaumiza vichwa, Kweli kua uyaone!Kabisa mkuu ๐