Lol! Kumbe mtoto wa nyoka weye manake unajua miziki kama mzazio!
Tatizo la dj wa bure koo linakuwa kama lina turbo, unameza vimiminika tu! Ntakufikiria lakini best, besdei yangu basi.
Mie nitazuka kwenye besdei yako Best, nifahamishe kiwanja cha kujirusha na wakati muafaka. Vimiminika usiwe na wasiwasi navyo Itakuwa ni aste aste ...ila msuba siku hiyo ucheze nao mbali LOL!
Mie nitazuka kwenye besdei yako Best, nifahamishe kiwanja cha kujirusha na wakati muafaka. Vimiminika usiwe na wasiwasi navyo Itakuwa ni aste aste ...ila msuba siku hiyo ucheze nao mbali LOL!
Unakumbuka ma -dj wakali enzi hizo.... 1.dj jerry koto 2.dj young millionea 3.dj chriss fabi (the lover) 4.dj deo zullu 5.dj kali kali 6.dj mangapiii 7.dj ali koko endelea tupia hapa ma-dj wa zamani.....