Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Sep 12, 2014 #2 nilikuwa nayo,shule ya msingi,mtu kuchezea kwa dk 20 sh 20
raster kipara JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 218 Reaction score 43 Sep 12, 2014 #3 Ilinikosanisha na wenzangu sn baada ya kuibiwa
W Walas Ba JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 3,399 Reaction score 1,746 Sep 12, 2014 #4 Ninayo bado
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,959 Reaction score 3,792 Sep 12, 2014 #5 Nilizichanga kama mwaka hivi nikaipata,walibeba Wakati wakufunga shule,enzi hizo rumuli p school
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,013 Sep 12, 2014 #6 utafiti naona umechezaa umechoka umeamua ulipige picha ukumbushe digital Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Sep 12, 2014 #7 naikumbuka
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Sep 12, 2014 Thread starter #8 MO11 said: utafiti naona umechezaa umechoka umeamua ulipige picha ukumbushe digital Click to expand... Hahahah kweli kabisa @m011 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MO11 said: utafiti naona umechezaa umechoka umeamua ulipige picha ukumbushe digital Click to expand... Hahahah kweli kabisa @m011
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Sep 12, 2014 Thread starter #9 miss neddy said: naikumbuka Click to expand... Unajua kucheza?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Sep 12, 2014 #10 Hiyo ni ninI?
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,761 Sep 12, 2014 #11 utafiti said: Unajua kucheza? Click to expand... nishasahau kitambo sana
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Sep 12, 2014 #12 Naikumbuka bro!
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,066 Reaction score 3,639 Sep 12, 2014 #13 achachaaa hiyo kitu ishanikosanisha sana na wazazi home.... nikiipata hata sasa nitacheza
idoyo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 3,051 Reaction score 1,423 Sep 12, 2014 #14 utafiti said: View attachment 184770 Click to expand... hahaaaa! eti upo serious unacheza car racing, duh!!! long time mazee.
utafiti said: View attachment 184770 Click to expand... hahaaaa! eti upo serious unacheza car racing, duh!!! long time mazee.
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,045 Sep 12, 2014 #15 Enzi zangu halikuwapo hili zagazaga!
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,785 Reaction score 31,298 Sep 12, 2014 #16 Mazingira ya kwetu ilikuwa ukimiliki tu basi ww ni mtoto wa tajiri
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,395 Reaction score 3,298 Sep 12, 2014 #17 Nilikuwa nalo s/m shule nzima nilikuwa nalo peke yangu. Basi nilikuwa na Marafiki tele.Nikilitoa kwny Begi nianze ku cheza,Basi nilijaliwa na wanfunz tele.kama Mkutano wa Mkulu. Nilikuja kuibiwa na mpka leo alie niibia simjui.
Nilikuwa nalo s/m shule nzima nilikuwa nalo peke yangu. Basi nilikuwa na Marafiki tele.Nikilitoa kwny Begi nianze ku cheza,Basi nilijaliwa na wanfunz tele.kama Mkutano wa Mkulu. Nilikuja kuibiwa na mpka leo alie niibia simjui.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 12, 2014 #18 idoyo said: hahaaaa! eti upo serious unacheza car racing, duh!!! long time mazee. Click to expand... Hii ndio nlikua napenda na ile ya kupanga blocks
idoyo said: hahaaaa! eti upo serious unacheza car racing, duh!!! long time mazee. Click to expand... Hii ndio nlikua napenda na ile ya kupanga blocks
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Sep 12, 2014 #19 Brick game....nakumbuka yangu ilipotea mshua akaniletea nintendo game boy,since there napenda sana kucheza games...
Brick game....nakumbuka yangu ilipotea mshua akaniletea nintendo game boy,since there napenda sana kucheza games...
idoyo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2013 Posts 3,051 Reaction score 1,423 Sep 12, 2014 #20 Jaslaws said: Brick game....nakumbuka yangu ilipotea mshua akaniletea nintendo game boy,since there napenda sana kucheza games... Click to expand... hapo unakomaa na super marioland. hahahaa
Jaslaws said: Brick game....nakumbuka yangu ilipotea mshua akaniletea nintendo game boy,since there napenda sana kucheza games... Click to expand... hapo unakomaa na super marioland. hahahaa