Wengine tumekulia Ghorofa ya sita huko, unakusudia wakina nani?
Ile harufu mvua inapoanza kunyesha.Hahahah.
Unakumbukia wapi mkuu. Naona ulikuwa unatamani mvua inyeshe aisee.
Hahah.
Wanaume wa Dar wanawasumbua sana akili. Hapo mbona ni kijijini huko mikoani?!Hapa ndipo wanaume wa Dar walipoanza utata wao.
Ile harufu mvua inapoanza kunyesha.
Baada ya hapo ndio kazi inaanza na maji yakijaa kwenye mabwawa duu wee acha tu hahaha
Umeona eeDah, ile harufu naipenda sana mkuu.
Hata mtu akiwa anamwagilia tu aidha ukuta au mchanga kutoa vumbi naskiaga ile harufu.
Hahah.
Sikumbuki hiyo michezo mkuu.Hukumbuki au humkumbuki...?