Unakumbuka hii mwanawane

sayansi kimu.......hivi imeishiaga wapi........?

Mama weee, kama Waziri hajui Tanzania ni Muungano wa Wapemba na Wamanyema, unategemea mtaala uwe na masomo ya maana.

Vitabu vy siku hizi ndio hivyo alivyovibaini Mbatia: 7 x 2 = 15
 
Kilikua kinafundisha jinsi ya kufua na kupiga pasi kwa wanga.
 
 


hii kitu nilikuwa naiita mdudu........nilikuwa naiogopa sana.....labda kwa sababu nyumbani hatukuwa nayo....ilikuwa inasifika kwa kulipuka...........stovuuu weeeeee......
 

Kweli kabisa ndugu. Lakini sisi wazazi ndio tunachangia kwa kiasi kikubwa kuwaharibu watoto. Inabidi tubadilike. Turudi kwenye misingi ya awali ya malezi.
 
kwa ajili ya Somo,hilo wanangu walinishangaa najua kushona vyandarua kwa sindano ya mkono wao walijua chandarua ikichanika inanunuliwa nyingine.kumbe maarifa ya nyumbani ilitufundisha kushona.
 
Walitupotezea kweli muda na somo hili...maarifa ya nyumbani kwanini yasifundishwe nyumbani?

MWalimu wa somo hili alkuwa anakuja hata notice hana anaandika toka kichwani mwake akimaliza awauzia ubuyu.
 


hii kitu nilikuwa naiita mdudu........nilikuwa naiogopa sana.....labda kwa sababu nyumbani hatukuwa nayo....ilikuwa inasifika kwa kulipuka...........stovuuu weeeeee......

Hii kitu ya kupampu ilikuwa balaa,maana ilikuwa inaongoza kwa kulipuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…