Unakumbuka Hadithi Hizi?

Unakumbuka Hadithi Hizi?

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,856
Reaction score
1,430
Habari wana Jf, kuna hadithi za zamani ambazo hadi leo bado unaweza kumsimulia mtoto na akafurahi, hadithi kama za Abunuwasi, Panga la Shaba, Kaka Mbweha na Sungura, Bulicheka na nyingine nyingi, Ninaombeni msaada wapi naweza pata vitabu vya hadithi hizo, Asanteni
 
umenikumbusha mbali sana!!

umesahau kile cha "chiku binti kachumbari"

tusubiri kwa wanaojua vinavyopatikana tuone!!
 
umenikumbusha mbali sana!!

umesahau kile cha "chiku binti kachumbari"

tusubiri kwa wanaojua vinavyopatikana tuone!!

Mpaka muda huu sijapata taarifa yoyote sijui kama nitafanikiwa, ngoja nisubiri
 
Ah? Mimi mpango mzima ulikuwa Pili Pilipili na hadithi nyinginezo...
 
Habari wana Jf, kuna hadithi za zamani ambazo hadi leo bado unaweza kumsimulia mtoto na akafurahi, hadithi kama za Abunuwasi, Panga la Shaba, Kaka Mbweha na Sungura, Bulicheka na nyingine nyingi, Ninaombeni msaada wapi naweza pata vitabu vya hadithi hizo, Asanteni

Aaagh, pole bro. Kama upo Tanganyika fika Tanganyika Library iliyopo pale Maktaba Complex, au ufike duka la vitabu la TUKI@UDSM. Au unaweza kufika Tanzania Publishing House kule Posta ya zamani.
 
karume kenge hataki kwenda shule
Juma na Roza,Roza na Damas
Pinokyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom