Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
1) UBUNGO - Mgombea Hawa Ng'umbi alikuwa hakubaliki kwa wananchi.
2) Iringa (M) - Monika Mbega alikuwa hakubaliki kwa wananchi baada ya kumwengua Mwakalebela kwa kashfa ya rushwa.
3) Ilemela - Vita ya kuchafuana kati yake na Masha iliyohusisha matumizi ya fedha ilimponza.
4) Nyamagana - Masha kutokana na dharau kwa wananchi na matumizi ya fedha.
5) Musoma (M) - Vedastus Mathayo aliponzwa na fujo za majivuno ya fedha toka kwa ndugu zake hivyo kutokubalika.
6) Mbeya (M) - John Mwakipesile alikuwa hakubaliki kwa wananchi kutokana na kashfa mbalimbali.
7) Kawe - Mgombea Mama Kizigha alikuwa hakubaliki kwa wananchi.
Unaweza kuongeza majimbo liliyoyaacha. Chama cha mapinduzi walitambua kuwa baadhi ya wagombea wao walikuwa hawakubaliki katika majimbo hayo lakini walipuuza au kulazimika kuwasimamisha kutokana na rushwa ndani ya chama hicho. Hali hii imejirudia huko Arumeru ambako wasipoangalia Jimbo hilo pia linaweza kuangukia mikononi mwa wapinzani.
Ni kweli, kuna haja wajitambue na kujirekebisha ili kulinda heshima ya wananchi wa Arumeru kwa chama hicho.1) UBUNGO - Mgombea Hawa Ng'umbi alikuwa hakubaliki kwa wananchi.
2) Iringa (M) - Monika Mbega alikuwa hakubaliki kwa wananchi baada ya kumwengua Mwakalebela kwa kashfa ya rushwa.
3) Ilemela - Vita ya kuchafuana kati yake na Masha iliyohusisha matumizi ya fedha ilimponza.
4) Nyamagana - Masha kutokana na dharau kwa wananchi na matumizi ya fedha.
5) Musoma (M) - Vedastus Mathayo aliponzwa na fujo za majivuno ya fedha toka kwa ndugu zake hivyo kutokubalika.
6) Mbeya (M) - John Mwakipesile alikuwa hakubaliki kwa wananchi kutokana na kashfa mbalimbali.
7) Kawe - Mgombea Mama Kizigha alikuwa hakubaliki kwa wananchi.
Unaweza kuongeza majimbo liliyoyaacha. Chama cha mapinduzi walitambua kuwa baadhi ya wagombea wao walikuwa hawakubaliki katika majimbo hayo lakini walipuuza au kulazimika kuwasimamisha kutokana na rushwa ndani ya chama hicho. Hali hii imejirudia huko Arumeru ambako wasipoangalia Jimbo hilo pia linaweza kuangukia mikononi mwa wapinzani.
Na mwaka 2015 watayarudisha hayo yaliotajwa hapo juu, kwani Sugu, Mdee, Wenje na Nyerere na wengine hao hawana lolote, usanii mtupu.Na mwaka 2010 walishinda majimbo yafuatayo kwa kusimamisha watu wanaokubalika na ambao hawakuwa na kashfa!
Duh, CCM si mchezo!
- Monduli
- Bariadi
- Igunga
Namba 6,Mbeya hatukumshinda J.Mwakipesile,bali B.Mpesya.
unajua ulichoandika au umeamua 2 kupost uharo? Unaifaham ciasa ya rombo vizur tangu 1995 wakti wa salakana? Usikurupuke chali angu sema uzuri wa mramba ulikua ni nin??1) Rombo - Mramba alikubalika sana na wananchi, roho mbaya tu ya CDM
Arusha Mjini
Vunjo