Unakumbuka adhabu hizi za shuleni?

Hapo unaita mvua hadi inanyesha, sasa ole wako ulegeze mkono mwalimu anakugonga stiki za kipepsi hadi unachanganyikiwa.
 
walimu walikuwa wanajipanga km 20 hv unachezea fimbo mpaka mwisho na usiposema asante wanaanza upya
 
Si wameiba korosho za mwalimu? Adhabu lazima. Ila ndio hivyo tena njaa haina adabu awe mtoto, mwanafunzi au mtu mzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…