Hii nayo safi sana. Nashangaa watu wanawezaje kula mara tatuKwa siku huwa nakula mala moja tu. na huwa ni kabla ya saa sita mchana, ikipita huo basi sili hadi next day
Sina kazi, naswampa tu mtaaniHii ni nzuri sana...... ila inategemeana na kazi unayofanya....
Wala mala tatu wengi wagonjwa, hawana afya nzuriHii nayo safi sana. Nashangaa watu wanawezaje kula mara tatu
Kama mtu wa kazi za field ni ratiba nzuri unapigilia heavy meal ukitoka hapo ni mpaka jioniHii nimeshawahi kuifanya kipindi niko job, unapiga msosi ndio unaanza kazi saa 4 hadi jioni tena mida ya saa 12. ikiisha hiyo ndio mpaka kesho tena!
kuna mda sikuwa kabisa online, bando lenyewe la kuotea otea basii vitaaa tuuuHahahaaaaa matajear wa JF ndio maana mda wote wengi wamo online
Kula kula na kukosa akili ni pacha 😁😁Halafu kulakula sana akili haifanyi kazi vizuri nishamsikia Dr. shoo analisemea hili....