Its Tesha Senior Member Joined Oct 6, 2025 Posts 168 Reaction score 604 Oct 21, 2025 #1 Mwijaku maarufu CHAWA wa CCM anataka vijana wasiandamane yeye kama nani jamaa ana mambo ya hovyo kawaida huyu ni mnufaika wa mfumo. Your browser is not able to display this video.
Mwijaku maarufu CHAWA wa CCM anataka vijana wasiandamane yeye kama nani jamaa ana mambo ya hovyo kawaida huyu ni mnufaika wa mfumo. Your browser is not able to display this video.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,734 Reaction score 118,634 Oct 21, 2025 #2 Vijana wasiwasikilize wapumbavu kama hawa akina Mwijaku, watu wanaoishi kwa kujitoa ufahamu! huku mamilioni ya vijana wakitaabika na maisha magumu mtaani.
Vijana wasiwasikilize wapumbavu kama hawa akina Mwijaku, watu wanaoishi kwa kujitoa ufahamu! huku mamilioni ya vijana wakitaabika na maisha magumu mtaani.