Unakipaji gani?

Saxophone hujawahi kupuliza bwana mdogo?
 
Kama haukufundishwa kupiga kinanda hakika haujui kukipiga huwa unakichezea tu
 
Kama haukufundishwa kupiga kinanda hakika haujui kukipiga huwa unakichezea tu
Kaka naomba nikuambie hv........nimepiga kwnye mikutano ya injili na matamasha zaidi ya 50 ya makanisa mbali mbali na nimepiga kinanda kwenye album zaidi ya 10 za kwaya mbali mbali...............hakuna nisichokijua kuhusu kupiga kinanda.....yn nakipiga kaka sio mchezo.........!!

Na baada ya kuwa nimeshakijua vzur kabisa ndo ikawa ile tukikutana na washkaji kwnye mikutano mbali mbali basi ndo tunaongezeana maujuzi kidgo na hyo ni kawaida kwa yoyote hata uwe talented vp lazma kuna skills za hapa na pale mpeane na watu ili kuivishana kisawa sawa
 
Sasa mada haijawa huko hunakotaka kwenda.........mada ni je unakipaji gani.........labda fungua ww uzi mwingine wa "* je kipaji chako kimekusaidia nin mpaka sasa""

Ndo tutakuja huko kukueleza faida tulizozipata kupitia vipaji vyetu
Kucharaza kwake kumemsaidia nini mpaka asaivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…