Forza Barantanda
Sempre Barantanda
Halafu kuna kikosi hiki kilichomchapa Barcelona magoli manne mtungi(4-0) mwaka 1994 kwenye fainali ya UCL
1.Sebastian Rossi
2.Mauro Tassott
3.Christian Panucci
4. Filippo Galli
5.Paolo Maldini
6.Marcel Desailly
7.Roberto Donadoni
8.Demetrio Albertin
9.Dejan Savićević
10.Daniele Massaro
11.Zvonimir Boban
Na hiki je??
1.Madata Lubigisa/Juma Mhina
2.Yusuf Ismail Bana
3. Athman Juma Chama
4. Ibrahim Khamis Magongo
5.Joram Mwakatika
6. James Ng'ong'a
7.Idd Watchee
8. Amri Ibrahim
9. Khalid Bitebo
10. Antony Nyembo
11. Abuu Juma
Hao ni wana T.P. Lindanda original
Salim waziri
Saidi korongo
Deogratis muhani
Idrisa ngulungu
Yassin napil
Ally maumba
Ally jangalu
Kassa Mussa
Juma mgunda
Husein mwakuluzo
Razzack yusuph Careca...
Nani anaikumbuka hiyo timu?
Hivi out of curiosity hawa waheshimiwa wa Coastal Union where are they now? Legends are always forgotten, lkn sio kwa wenzetu ulaya
Katika ukurasa hii kila mzalendo atakuwa na haki ya kutukumbusha kikosi cha timu na akumbushe pia ni tukio gani lililopelekea asikisahau kikosi hicho.
Kwa kuanzia basi naanza na kikosi cha Gor Mahia toka Kenya.
Kikosi ambacho kilifuta uteja kwa wababe wao enzi hizo timu ya FC Leopard...
1) Dan Odhiambo
2) Thobias Ocholla ''jua kali''
3) Peter otieno ''Basanga''
4) John Bobby Ogolla
5) Austin Oduor
6) Abbas Khamis Magongo
7) John Okelo ''Zangi''
Sammy Owino ''Kempes''
9) William Ouma Chege
10) George Onyango ''Fundi''
11) Sammy Onyango ''Jogoo''
wako wapi leo
3) Peter otieno ''Basanga'' : Kocha wa Sony Sugar katika ligi kuu ya Kenya
4) John Bobby Ogolla : Assistant coach wa Sofapaka katika ligi kuu ya Kenya
5) Austin Oduor: Mwanao Arnold Origi yuko katika ligi ya Sweden
6) Abbas Khamis Magongo: Marehemu
7) John Okelo ''Zangi'' : Marehemu
8) Sammy Owino ''Kempes'': Now known as Samuel Olali is a youth coach in Texas
10) George Onyango ''Fundi'': Timu meneja wa Bandari FC
11) Sammy Onyango ''Jogoo'': Marehemu (car accident 2003)
http://www.kenyapage.net/football/comments/sammy-onyango.html
Na hiki je??
Paul Rwechungura
Deo Mkuki
Mao Mkami
Rashid Abdallah
George Magere Masatu
Hussein Masha
Fumo Felician/Beya Simba
Khalfan Ngassa
Juma Amir
Kitwana Selemani
Hamza Mponda
Wana T.P Lindanda Kawekamo!!!!
Unakikumbuka hiki????
Khamis Kinye
Yusuf Ismail Bana
Fred Felix Minziro
Allan Shomari
Athman Juma Chama
Isihaka Hassan Chukwu
Omar Hussein Keegan
Elisha John
Makumbi Juma Homa ya jiji
Abeid Mziba
Hussein Idd
Kaka wachan na hii Simba bana ilikuwa si mchezo
Sorry dogo,Kocha simkumbuki vizuri.Umenikumbusha mbali kaka! Kocha wao alikuwa nani?
Salim waziri
Saidi korongo
Deogratis muhani
Idrisa ngulungu
Yassin napil
Ally maumba
Ally jangalu
Kassa Mussa
Juma mgunda
Husein mwakuluzo
Razzack yusuph Careca...
Nani anaikumbuka hiyo timu?
Sorry dogo,Kocha simkumbuki vizuri.
Na hiki je???
Khamis Kinye
Yusuf Ismail Bana
Ahmed Amasha
Athman Juma Chama
Isihaka Hassan Chukwu
Juma Mkambi General
Hussein Idd
Charles Boniphace Mkwasa
Abeid Mziba
Makumbi Juma
Omar Hussein Keegan/Juma Kampala
Hii Yanga ilikuwa moto mbaya sana kwa Simba!!!!1
Kaka hapo umenikumbusha mnyama ABAJALO(ABUJA) enzi hizo1) Matokeo
2) Saga
3) Modest
4) George Ngasongwa
5) Baba Dimu
6) Shomari
7) Erick Mzungu ''cantona''
8) Habib
9) Mfede
10) Kalikawe
11) ....................
Kocha Arigo Sacchi.