Unakikumbuka kikosi hiki cha simba 2010/2011

Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
7,510
23,908
Leo nikiwa nasikiliza mpira huku naombea yanga nikajikuta nakikumbuka hichi kikosi, enzi hizo simba ikicheza unakua na uhakika na kushinda.

Mwaka wa 4 sasa hatujachukua ubingwa, sijui viongozi wanajua maumivu tunayosikia au ndiyo wanaangalia matumbo yao.


Hiki ni kikosi changu bora mpaka sasa sijaona kikosi kama hiki.


JUMA KASEJA, ALI MUSTAFA 'BARTHEZ', RAMADHAN SHAMTE, SALUM KANONI, JUMA JABU, AMIR MAFTAH , KELVIN YONDAN, JUMA NYOSO, JOSEPH OWINO, DAVID NAFTAL, MOHAMED BANKA, JERRY SANTO, hILLARY ECHESSA, AMRI KIEMBA, SHIJA MKINA, NICO NYAGAWA, RAMADHAN GUMBO, UHURU SELEMAN, SALUM AZIZ GILA, MUSA MGOSI, EMMANUEL OKWI, PATRICK OCHAN, MBWANA SAMATHA, MOHAMED KIJUSO na KELVIN CHARLES
 
Mimi nakumbuka hawa :

Joseph katuba
Silvatus ibrahim(polisi)
Kenneth mkapa(C)
Bakari malima
Said Mwamba Kizota
Ally mayai(tembele)
Akida makunda
Salvatore edward
Sanifu lazaro (tingisha)
Mohammed hussein(mmachinga)
Edibily Jonathan lunyamila
Kikosi cha maangamizi;
1. Juma kaseja,
2. Nassor Masoud,
3. Amir Maftah,
4. Shamari kapombe,
5. Kelving Yondani,
6. Patrick Mafisango,
7. Uhuru Suleiman,
8. Mwinyi Kazimoto,
9. Felix Sunzu,
10. Haruna Moshi,
11. Emmanuel Okwi.

image.jpeg


Hapa kwa kikosi hiki yanga walikulaga hadi tano.

Ukija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
image.jpeg
 
Kikosi cha maangamizi;
1. Juma kaseja,
2. Nassor Masoud,
3. Amir Maftah,
4. Shamari kapombe,
5. Kelving Yondani,
6. Patrick Mafisango,
7. Uhuru Suleiman,
8. Mwinyi Kazimoto,
9. Felix Sunzu,
10. Haruna Moshi,
11. Emmanuel Okwi.

View attachment 510795

Hapa kwa kikosi hiki yanga walikulaga hadi tano.

Ukija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
View attachment 510794
Bila kumsahau Nteze John (Rungu) hapo kwenye bora wa miaka yote
 
1. Juma Kaeja
2. Said Seedy
3.Ramadhan Was so
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa
6. Suleiman Matola
7. Ulimboka Mwakingwe
8. Shekhan Rashid/Christopher Alex
9. Emanuel Gabriel
10. Madaraka Suleiman
11.Steven Mapunda
 
Kikosi cha maangamizi;
1. Juma kaseja,
2. Nassor Masoud,
3. Amir Maftah,
4. Shamari kapombe,
5. Kelving Yondani,
6. Patrick Mafisango,
7. Uhuru Suleiman,
8. Mwinyi Kazimoto,
9. Felix Sunzu,
10. Haruna Moshi,
11. Emmanuel Okwi.

View attachment 510795

Hapa kwa kikosi hiki yanga walikulaga hadi tano.

Ukija kwa malegend;
Mohamed Mwameja(Tz one), Alphonce Modest, George Masatu, Hussein Masha, Ramadhani Lenny(mapafu ya mbwa), Iddi suleiman(nyigu), Madaraka Suleiman(mzee wa kiminyio), Abdul Ramadhan (Mashine), Dua said, Malota Soma(ball juggler), edward chumila, Damian Kimti, etc
View attachment 510794
Hivi hicho kikosi cha juu ndiyo kilicheza na al shandy (sipo sure na spelling) Taifa? Nililia kwa furaha hiyo siku Taifa!! Daah simba zamani walikua wanajua kutupa raha, ingawa walivyoenda ugenini wakatolewa ila kilikua kikosi bora nacho.
 
Joseph Fungo
Yusuph Ismail Bana
Fred Felix "Minziro"
Isiaka Hassan "Chukwu"
Athumani Juma Chama "Jogoo"
Juma Mkambi "Generali"
Rashid Hanzuruni
Charles Bonifasi Mkwasa
Abeid Mziba "Tekelo"
Makumbi Juma "homa ya jiji" "Bongabonga"
Celestine Sikinde Mbunga
 
Joseph Fungo
Yusuph Ismail Bana
Fred Felix "Minziro"
Isiaka Hassan "Chukwu"
Athumani Juma Chama "Jogoo"
Juma Mkambi "Generali"
Rashid Hanzuruni
Charles Bonifasi Mkwasa
Abeid Mziba "Tekelo"
Makumbi Juma "homa ya jiji" "Bongabonga"
Celestine Sikinde Mbunga
Hiki kikosi cha kati ya 1985-87 kama sijakosea, hapa hata Saidi Mwamba Kizota alikuwa hajaingia Yanga bado.
 
Hiki kikosi cha kati ya 1985-87 kama sijakosea, hapa hata Saidi Mwamba Kizota alikuwa hajaingia Yanga bado.

Saidi Mwamba ni kizazi cha Sahau Kambi, Mbwana Makatta, Selemani Mkati, Keneth Mkapa, Kipese, Sanifu Razaro, Mtekere, Aswile, Lunyamila, Makumbi alikuwa ndio anamalizia
 
Simba ya sasa inacheza taifa km ipo mazoezini

Kina kichuya wanacheza goigoi sana
Kina mavugo goigoi sana

Timu haina sprit kabisa
 
Mie nakumbuka hiki kilichowafunga Sports club villa mwaka 94 Uwanja wa uhuru dsm nakuchukua kombe la klabu bingwa afrika mashariki na Kati *1 Tanzania one Mohamed mwameja *2 Deo mkuki *3 Rashid abdallah *4 Jamhuri kiwelo "mrema" *5 Frank kasanga "Bwalya" *6 Ramadhani lenny "Abega" *7 Issa kihange *8 Hussein Marsha *9 Edward chumilla *10 Zamoyoni mogella "Gorden boy" *11 Bakari iddi, hiki ndio kikosi changu bora kabisa cha vijana wa msimbazi wakuu...
 
1. Juma Kaeja
2. Said Seedy
3.Ramadhan Was so
4. Boniface Pawasa
5. Victor Costa
6. Suleiman Matola
7. Ulimboka Mwakingwe
8. Shekhan Rashid/Christopher Alex
9. Emanuel Gabriel
10. Madaraka Suleiman
11.Steven Mapunda
Hiki nacho mkuu mtoto atumwi dukani hapo.
 
Simba wamebaki kuyakumbuka ya kale tu.... Inatia huruma sana, miaka inaenda hawana furaha kabisa.... Ndio maana Okwi anawapiga pesa mpaka atembee na fimbo
 
Back
Top Bottom