Unakijua chuo kikuu cha Dar es Salaam?

Unakijua chuo kikuu cha Dar es Salaam?

Sitaki kukumbuka vyoo vya hall three au vile vya pale seminar rooms. Nikiwa chuo Mlimani nilipata UTI hadi kufikia stage ya kukojoa damu sitakaa nisahau!!! Usafi wa pale ni zero kabisa. Nakumbuka tulikua na trip nyingi za Mlimani city kila jioni maana vyoo vyao atleast vilikua visafi... kwa hiyo mtu unajikaza simu nzima ukimaliza vipindi unaenda kushusha mzigo Mlimani City!!! That was 6 years ago.....
et "vyoo vya mlimani at least"; wacha usista duu kidole kijijn kwenu huko mnakunya porini et nw umepat fursa ya kuja mjin et mliman at least!
[HASHTAG]#umekuja[/HASHTAG] kunya au kusoma
 
et "vyoo vya mlimani at least"; wacha usista duu kidole kijijn kwenu huko mnakunya porini et nw umepat fursa ya kuja mjin et mliman at least!
[HASHTAG]#umekuja[/HASHTAG] kunya au kusoma
Ofcourse vyoo vya Mlimani city vilikua "atleast" visafi coz u can't compare them na vya hall three hygenicaly,japo vinatumika sana na wengi coz nisehemu ya biashara.
Eeee na usista duu wangu Nikioneshwa pori na choo cha Hall 3 mlimani, ntakunya Porini!!!!!
 
mtoa mada elewa kuwa suala la accommodation sio kipaumbele au kigezo cha kupima ubora wa chuo.
Suala la accommodation ni la mwanafunzi husika wenzetu vyuo vya ulaya hata kama umekuwa admitted tayari wanachofanya ni kukupa tu link ya watu watakaokusaidia kupata sehemu ya accommodation nje ya chuo.
Hata vyuo vikuu maarufu duniani kama Harvard,Oxford,Cambridge,Macmillan n.k wana limited space za accommodation kwa wanachuo hata kama unatoka nje ya nchi husika .

Kwakifupi vyuo vikuu vipo kwa ajili ya teaching,training,research na consultancy suala la accommodation ni la kwako wewe mwanafunzi vyuo vinasaidia tu kwahiyo usitoe lawama yoyote ya masuala ya miundombinu ya accommodation kwa UDSM manake hicho sio kipaumbele
 
Vyoo vya kukaa kwenye mabweni ya mrundikano?? Hivi nani aliwaambia watz tunainjoi vyoo vya kukaa?
Mkuu hili ni tatizo la nchi nzima. Yani ofisi nyingi za umma lakini vyoo vya kukalia,sijui usomi wa wapi huu. Yani aliyebuni, mwenye Mali na aliyetengeneza wote wameshindwa kuona kuwa hivyo vyoo havifaii hata kidogo kwa mtu zaidi ya mmoja.

Hii ni kero kubwa sana tena na binafsi inanikera mno.
 
Sitaki kukumbuka vyoo vya hall three au vile vya pale seminar rooms. Nikiwa chuo Mlimani nilipata UTI hadi kufikia stage ya kukojoa damu sitakaa nisahau!!! Usafi wa pale ni zero kabisa. Nakumbuka tulikua na trip nyingi za Mlimani city kila jioni maana vyoo vyao atleast vilikua visafi... kwa hiyo mtu unajikaza simu nzima ukimaliza vipindi unaenda kushusha mzigo Mlimani City!!! That was 6 years ago.....
Kwa hiyo sometimes kwenda kushusha kimba ulikua unalilipia nauli? Nina imagine wakati ule umeshatoka kula cha usiku halafu tumbo linahitaji kushusha lock
 
Inasikitisha sana unapoona watu wasomi waliohitimu ktk chuo hicho wanagawana mifuko ya sandarusi iliyojaa escrow na hakuna anaekumbuka mateso na matatizo ya mlimani
 
Wewe ulienda udsm kusoma au kunya?
Tuanzie hapo kwanza!
 
et "vyoo vya mlimani at least"; wacha usista duu kidole kijijn kwenu huko mnakunya porini et nw umepat fursa ya kuja mjin et mliman at least!
[HASHTAG]#umekuja[/HASHTAG] kunya au kusoma

Mimi mwenyewe ni "mfia UD"lakini hakuna chembe ya uongo kwenye huu uzi. Nashukuru hayo bweni yamefungwa kwa sasa na ukarabati unaendelea lakini vyoo na mfumo wa majitaka ni janga. Vyoo vya kwenye mabweni na vyoo vya Humaities (zamani vya nya FASS) ni janga la aina yake. Sijui kwa nini havifungwi. Vyoo vya kueleweka kidogo vilikuwa engineering. Mimi niliishi Mabibo miaka mitatu. Mwaka wa 4 nikaishi main campus. Kujisaidia nilikuwa najibana napanda shuttle kwenda Mabibo hadi nilipopata rafiki mlemavu akawa anainipa ufunguo wa vyoo vyao. Vyoo nya mabwenini vilikuwa vya kukalia na vichafu mno - na watumiaji walikuwa wachafu zaidi. Unakuta vimekanyagwa juu au vimejazwa magazeti. Kukikosekana maji ya DAWASCO siku moja mbili utajuta kupafahamu. Mchuo mkubwa kama ule hauna miundombinu ya kuvuna maji ya mvua. Ni ajabu na kweli. Maji yakikatika unaona gari lamaji linamimina maji matanki ya utawala tu. Nyie wengine mjibebe. UD wajirekebishe. Hata kama bajeti ni finyu jamani kuna mambo ya msingi.
 
Sitaki kukumbuka vyoo vya hall three au vile vya pale seminar rooms. Nikiwa chuo Mlimani nilipata UTI hadi kufikia stage ya kukojoa damu sitakaa nisahau!!! Usafi wa pale ni zero kabisa. Nakumbuka tulikua na trip nyingi za Mlimani city kila jioni maana vyoo vyao atleast vilikua visafi... kwa hiyo mtu unajikaza simu nzima ukimaliza vipindi unaenda kushusha mzigo Mlimani City!!! That was 6 years ago.....

sijawahi kujua kama Mlimani City kuna vyoo, maana najuaga wale watu wa mule hawaendagi haja wanavyonata
 
Back
Top Bottom