sipingani na wewe kwa hilo sometims kweli inakuwa kero mfano mtu anaulizia kazi au interview lini au imekuwaje yeye anaweka hiyo linki inaboaje.kichwakipana
Sio kana kua watu tunapinga asifanye kazi yake la hasha!mbona hata mi ni mdao wa kutangaza biashara zangu kupitia hapa!ispokua huyu jamaa ametapakaza matangazo yake kila sehem na usoshangae hata kwenye uzi huu anaweza akaweka hilo tangazo lake...
Pia anaweza akaandika title nyingine ukifungua ndani unakutana na tangazo lake mf.title ni th call for interview ukifungua tu....unakuta tanganzo lake...ndio maana tukasema anabore.....