Sasa endapo hilo bwana litakamilika na mgao wa umeme ukawepo utasemaje?mtu anayezuia kujenga hilo bwawa akisingizia sijui mazingira sijui nini huwa namshangaa sana. na huwa naamini hana akili timamu.
Wakati gesi inachimbwa Lindi na Mtwara tuliambiwa kwamba hatutakuwa na shida ya umeme. Kwa kweli nyinyi maccm hamna aibu baadae kidogo mtageuza kauli, huo mradi ni kiini macho tu.
Mradi huo ulikosolewa na wajerumani kwamba utaathiri mazingira lakini hamsikii subiri ukweli ni ukweli tu mtaumbuka muda siyo mrefu