kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,244
Nimetafakari kwa kina na kutambua kwamba kuna uwezekano wa kuunda kabila jipya.
Nakaribisha Pm kwa yeyote atakaye amua kuasi kabila lake ili ajiunge na mimi kuunda kabila letu jipya ambayo tutaitengenezea lugha mpya.
Ikiwezekana tutakula viapo vya kuasi majina ya koo za makabila yetu na kupeana majina ya ukoo wetu mpya kutokana na kabila letu.Kama wewe unajuta kuzaliwa kabila ulilo nalo, njoo ujachelewa. Mila na desturi tutaziunda Watu tukitimia 100 ndio mchakato rasmi utaanza.
Kila mtu atakuwa na wajibu wa kutuletea maneno 50 ya atakayo penda kitu gani kiitwe vipi katika kutengeneza lugha.
NB- Hii kabila mkoa wake utakuwa hapa hapa Dar es Salaam