kethika
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 630
- 472
Najua wote huwa tunaoga labda mtu akiwa na shida maalum. Wengine wanaoga mara moja kwa wiki wengine mara moja kwa siku wengine mara mbili kwa siku nakadhalika.
Swali langu ni je unajuaje kama umetakata wakati unaoga? Ni baada ya maji kuisha? Muda kuisha ? Au inakuaje?
Swali langu ni je unajuaje kama umetakata wakati unaoga? Ni baada ya maji kuisha? Muda kuisha ? Au inakuaje?