Unajua wanaobeba madawa tumboni wanaingiziwa kinyume na maumbile?

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Najua wengi watamshangaa hili labda kukujuza tu kama ndugu yako anakamatwa na madawa tumboni na kwamba maumbile yake ya nyuma yako salama tena nahisi mnanielewa zaidi madawa yale hayafanyiwi operation na kuingia bali hupitishwa sehemu za kutolea haja kubwa.

Sehemu zile kabla hazijaingizwa humiminiwa dawa moja ambayo inapoingia hufanya mtanuko wa sehemu zile na hivyo kufanya urahisi wa mbebaji kuingiza kete nyingi zaidi bila kusikia maumivu.

Masharti mojawapo ni kutokula kabisa vyakula vya moto ama chai ya moto kwenye ndege zoezi hili huambatana na ulaji wa biskuits na soda ya uvuguvugu.

Ndio maana wanapotoka nje ama kuingia uwanjani wanapohisiwa wanapewa uji mmoja wa moto mtakatifu uji ule hufwatana na mharisho wa haja kama umebeba madawa basi zoezi hilo linamalizika baada ya dk tano.

Nakuasa unaposikia nduguyo akikueleza hoja ya kubeba mzigo wa madawa basi kama ni mwanaume ujue maumbile yake ya nyuma kwishine kabisa.

Adha ya dawa zile zikimiminwa hakuna uwezekano tena kurudi alivyokuwa.

Maombi yangu kwa Mola watanzania tukimbie laana hii haina tofauti na kuingiliwa kinyume na maumbile.
 
Nyamaza wewe hujui lolote kuhusu hereoin na cocaine hizo pipi zinamezwa kama vile chakula kinavomezwa wanaongiza madawa mkndn ni wafungwa gerezani tena vijipis vya bange tu huo mknd ubebe ndoga 100 ambto kila moja iko kama mbilimbi utakuwaa mknd aina gani?? HIDE MY ID PLS!!
 
Back
Top Bottom