Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,429 Jul 28, 2011 #1 Yule mzee wa vurugu za maono, muumini wa majini ambaye ametutoka, ulishajiuliza angetabiri nini kipindi hiki cha mgao wa umeme? Maana nchi imetulia baada majini na mapepo kupoteza kiongozi wake!Alikuwa mwongo sana !
Yule mzee wa vurugu za maono, muumini wa majini ambaye ametutoka, ulishajiuliza angetabiri nini kipindi hiki cha mgao wa umeme? Maana nchi imetulia baada majini na mapepo kupoteza kiongozi wake!Alikuwa mwongo sana !