kirabe
JF-Expert Member
- Jan 29, 2015
- 434
- 300
Alcohol inaweza kupita kwenye damu ya mama na kumfikia mtoto...
Madhara yake ni huwa inaathiri ukuaji wa chembe hai za ubongo, chembe hai za uti wa mgongo na chembehai nyingine za mtoto mwilini..
Hii ni kutokana na mtoto kutokua na uwezo wa kupambana na alcohol sababu ini linakua bado halijatengemaa kwa kazi hio.