aunajionaje unapomkuta dadako,akiwa amebanananishwa sehemu kimalove na mshkaji,akifanya romance,au akiwa anatongozwa tartiib kwenye kigiza.Au akishikwa makalio mbele yako?

Ni ajabu kweli utakuta kaka hataki kabisa kusikia/kuona dadake akitongozwa au yuko na jamaa, lakini yeye huyo huyo anajisikia fahari akimtongoza dada wa mwenzie. Hapa huwa na jiuliza ni wivu au tuiteje?
Wivu huo, anaona jamaa atafaidi. Nafuu uwe hauishi naye sehemu moja, kama mnaishi nyumba moja alafu mchizi kila siku unamuona anapitapita kuvizia inauma sana.
aunajionaje unapomkuta dadako,akiwa amebanananishwa sehemu kimalove na mshkaji,akifanya romance,au akiwa anatongozwa tartiib kwenye kigiza.Au akishikwa makalio mbele yako?
Mbele yako haiwezekani. Labda walikuwa wanafanya ukawatokea ghafla. Kama ni makusudi mtandike ngumi kama unamuweza kama ni baunsa kukuzidi basi chukua time taratibu waache waendelee na mambo yao.