aunajionaje unapomkuta dadako,akiwa amebanananishwa sehemu kimalove na mshkaji,akifanya romance,au akiwa anatongozwa tartiib kwenye kigiza.Au akishikwa makalio mbele yako?
Nakumbuka 2005 maeneo ya rchuga rafki yangu alichomwa kisu na bro wa demu wake akiwa angle anamsubiri.duu inauma bora jamaa awe muowaji na si mpitaji then aitakiwi muwe kitaa kimoja
aunajionaje unapomkuta dadako,akiwa amebanananishwa sehemu kimalove na mshkaji,akifanya romance,au akiwa anatongozwa tartiib kwenye kigiza.Au akishikwa makalio mbele yako?
Ni ajabu kweli utakuta kaka hataki kabisa kusikia/kuona dadake akitongozwa au yuko na jamaa, lakini yeye huyo huyo anajisikia fahari akimtongoza dada wa mwenzie. Hapa huwa na jiuliza ni wivu au tuiteje?