Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,388
- 25,425
- Thread starter
- #121
Wewe kweli mibangi imekuharibu vibaya sanaa.Embu soma ulichoandika tena.Nimeanza kutumia JF 2026 sijawahi kumuona

😛😛😛😛Wewe kweli mibangi imekuharibu vibaya sanaa.Embu soma ulichoandika tena.
Acha fix!Mimi sitafuti nafasi ndugu yangu.maana nafasi yangu ni katika kutimiza majukumu yangu ya kujipatia riziki yangu ,kupitia kazi za mikono yangu shambani
Mtu anayefanya vizuri katika majukumu yake ni muhimu na uungwana mkubwa sana kumpongeza na kumtia moyo ili aendelee mbele zaidi.siyo vyema kumkatisha tamaa anayefanya vyema.maana wenye mioyo ya kujitoa na kujitolea kufanya kazi kwa ajili ya kugusa maisha ya watu ni wachache sana.hivyo hawa wachache kama akina Mheshimiwa Rais Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan hatuna budi kuwaunga mkono .Wewe Lucas mwashambwa hujapata funzo lolote katika hiyo picha.
Ungepata funzo usingekuwa unawasifu wanadamu wenzako.
Kwanza unaowasifu hawastahili hizo sifa.
Pili hata kama walistahili kumbuka wanalipwa kwa hiyo kazi hivyo ni sehemu ya wajibu wao.
Mwanadamu mwenye akili timamu hawezi kumwaga sifa kwa mwanadamu mwenzake
Kwahiyo unataka kusema Samia anafanya majukumu nje ya majukumu yake aliyopaswa kufanya?Mtu anayefanya vizuri katika majukumu yake ni muhimu na uungwana mkubwa sana kumpongeza na kumtia moyo ili aendelee mbele zaidi.siyo vyema kumkatisha tamaa anayefanya vyema.maana wenye mioyo ya kujitoa na kujitolea kufanya kazi kwa ajili ya kugusa maisha ya watu ni wachache sana.hivyo hawa wachache kama akina Mheshimiwa Rais Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan hatuna budi kuwaunga mkono .
Najifunza kwamba;Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa kama mwanadamu na binadamu ambaye umepata neema ya Mwenyezi Mungu ya kuwa hai mpaka siku ya leo unajifunza nini na unapata somo lipi ukiitizama picha hii? Nini kinakuja katika akili yako? Nini unapaswa kufanya kama mwanadamu kila uamkapo asubuhi?
Kwangu mimi Mwashambwa Lucas napata funzo na somo la kuwa Kifo ni Fumbo ,aijuaye kesho ya mtu ni Mungu pekee .siku za kuishi mwanadamu hapa Duniani zipo mikononi mwa Mwenyezi Mungu pekee, na siyo kwa ujanja wa mwanadamu wala mipango ya mwanadamu katika kuishi hapa Duniani.
Najifunza kuwa kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.kikubwa ukipata nafasi ya kuishi basi jitahidi kumcha Mungu, kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, kutenda mema,kugusa maisha ya watu,kuacha alama katika maisha ya watu,kuwatendea watu wema.kujuwa kuwa Duniani sisi sote ni wapitaji tu na siyo mahali pa kudumu. Hivyo tunapaswa kama wanadamu kufahamu ya kuwa kama ilivyokuwa siku yetu ya kuzaliwa basi pia kuna saa yetu na siku yetu ya kufa na kuondoka hapa Duniani yaja mbele yetu kitambo kidogo.hivyo mjue sana Mungu ili uwe na amani hata saa yako ya kuondoka hapa Duniani itakapowadia.
Najifunza na naendelea kujifunza kuwa Mungu huvuna popote pale na wakati wowote ule pasipo mipaka wala kizuizi cha aina yoyote ile,kwa sababu sisi sote wanadamu ni sawa na tupo sawa mbele ya macho yake.
Mungu awalaze mahali pema peponi viongozi wetu hawa watatu waliotangulia mbele za haki. lakini pia aendelee kumjalia maisha marefu yenye heri na baraka Mheshimiwa Rais wetu mstaafu mzee Dr Jakaya Mrisho Kikwete maana ni muhimu sana Taifa kuwa na wazee na viongozi wastaafu katika kutoa mawazo na ushauri kwa uongozi unaokuwepo madarakani kwa wakati huo hasa katika nyakati ngumu zinazohitaji busara na uzoefu wa wazee walipitia katika uongozi . Kusudi la kuumbwa kwao walishalimaliza hapa Duniani na walipoishia ndipo ilikuwa mipango ya Mungu kwa wao kutufikisha hapo kama Taifa katika ulimwengu wa kiroho.
Hivyo kila kiongozi wetu aliye hai na aliyepewa nafasi na neema ya kuwahudumia na kuwatumikia watanzania anapaswa kujiuliza kuwa ni vipi na kwa namna gani amegusa maisha ya watanzania. Ni kipi atakumbukwa na watanzania pale atakapomaliza utumishi wake wa umma. Ni vipi na kwa namna ipi hadithi yake itasimuliwa na vinywa vya walio hai. Uwepo wake katika nafasi fulani ya uongozi ni kwa kiasi gani umeleta tabasamu ,furaha na matumaini katika mioyo ya watanzania. Maisha yake hapa Duniani yamebadilisha maisha ya watu wangapi na kuwapa matumaini. Ni vipi umewatendea watu haki. Ni vipi mikono yako imegusa maisha ya watu.
Kikubwa ni kutambua kuwa hakuna mwanadamu aliye kamilika chini ya jua.kila mtu ana udhaifu wake,makosa yake,upungufu wake kama mwanadamu. Hivyo kama wanadamu hatuna budi kusameheana, kusaidiana,Kuombeana heri na kumuomba Mungu atusamehe makosa yetu,atuongoze katika njia zetu na maamuzi yetu na kutufanya kuwa viumbe vipya katika matendo yetu yatakayo leta na kuchochea amani na upendo miongoni mwetu.
Hata mimi niliyeandika hapa nami ni mwanadamu ambaye sijakamilika kama alivyo kamilika Mungu,ndio maana kila siku kabla ya kulala namwomba Mungu anisamehe makosa yangu niliyo yatenda iwe kwa mawazo ,kwa maneno na hata matendo yangu.hivyo tusameheane na kuhurumiana.
Kipekee kabisa namuombea kwa dhati ya moyo wangu maisha marefu yenye heri ,amani na furaha Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan,Mungu aendelee kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania,amlinde , kumpigania na kumtetea wakati wote.mkono wa Mungu na uso wake uwe pamoja na Rais wetu.amtangulie mahali popote aendapo.Mungu ndiye awe mlinzi wake,dereva wake na daktari wake.Mungu akawe ndani ya Moyo wa kila mtu amhudumiaye Rais wetu.chochote kifanyikacho kwa Rais wetu kikawe na kibali na mkono wa Mungu ndani yake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.View attachment 2925123
Utakufa wewe na kumuacha akiendelea kuishi maisha marefu na yenye furaha kwa neema ya Mungu.Najifunza kwamba;
1. Hao wengine wote watatu wameshakufa na anayefuatia ni huyo wa katikati..
2. Tanganyika iliyouwawa kikatili inakwenda kufufuka na kuishi tena.
Ni msimu mpya.......
Ni majira mapya.........
Ni nyakati mpya.........
Ni kifo na mwisho wa CCM.....
Miaka ya kuishi binadamu ni 70 ikizidi ni bonus tu...Utakufa wewe na kumuacha akiendelea kuishi maisha marefu na yenye furaha kwa neema ya Mungu.
Lipo hapo litafute utalijua.Nani liuaji?
Wote ni vibaka wa kura tu.Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa kama mwanadamu na binadamu ambaye umepata neema ya Mwenyezi Mungu ya kuwa hai mpaka siku ya leo unajifunza nini na unapata somo lipi ukiitizama picha hii? Nini kinakuja katika akili yako? Nini unapaswa kufanya kama mwanadamu kila uamkapo asubuhi?
Kwangu mimi Mwashambwa Lucas napata funzo na somo la kuwa Kifo ni Fumbo ,aijuaye kesho ya mtu ni Mungu pekee .siku za kuishi mwanadamu hapa Duniani zipo mikononi mwa Mwenyezi Mungu pekee, na siyo kwa ujanja wa mwanadamu wala mipango ya mwanadamu katika kuishi hapa Duniani.
Najifunza kuwa kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.kikubwa ukipata nafasi ya kuishi basi jitahidi kumcha Mungu, kuishi maisha ya kumpendeza Mungu, kutenda mema,kugusa maisha ya watu,kuacha alama katika maisha ya watu,kuwatendea watu wema.kujuwa kuwa Duniani sisi sote ni wapitaji tu na siyo mahali pa kudumu. Hivyo tunapaswa kama wanadamu kufahamu ya kuwa kama ilivyokuwa siku yetu ya kuzaliwa basi pia kuna saa yetu na siku yetu ya kufa na kuondoka hapa Duniani yaja mbele yetu kitambo kidogo.hivyo mjue sana Mungu ili uwe na amani hata saa yako ya kuondoka hapa Duniani itakapowadia.
Najifunza na naendelea kujifunza kuwa Mungu huvuna popote pale na wakati wowote ule pasipo mipaka wala kizuizi cha aina yoyote ile,kwa sababu sisi sote wanadamu ni sawa na tupo sawa mbele ya macho yake.
Mungu awalaze mahali pema peponi viongozi wetu hawa watatu waliotangulia mbele za haki. lakini pia aendelee kumjalia maisha marefu yenye heri na baraka Mheshimiwa Rais wetu mstaafu mzee Dr Jakaya Mrisho Kikwete maana ni muhimu sana Taifa kuwa na wazee na viongozi wastaafu katika kutoa mawazo na ushauri kwa uongozi unaokuwepo madarakani kwa wakati huo hasa katika nyakati ngumu zinazohitaji busara na uzoefu wa wazee walipitia katika uongozi . Kusudi la kuumbwa kwao walishalimaliza hapa Duniani na walipoishia ndipo ilikuwa mipango ya Mungu kwa wao kutufikisha hapo kama Taifa katika ulimwengu wa kiroho.
Hivyo kila kiongozi wetu aliye hai na aliyepewa nafasi na neema ya kuwahudumia na kuwatumikia watanzania anapaswa kujiuliza kuwa ni vipi na kwa namna gani amegusa maisha ya watanzania. Ni kipi atakumbukwa na watanzania pale atakapomaliza utumishi wake wa umma. Ni vipi na kwa namna ipi hadithi yake itasimuliwa na vinywa vya walio hai. Uwepo wake katika nafasi fulani ya uongozi ni kwa kiasi gani umeleta tabasamu ,furaha na matumaini katika mioyo ya watanzania. Maisha yake hapa Duniani yamebadilisha maisha ya watu wangapi na kuwapa matumaini. Ni vipi umewatendea watu haki. Ni vipi mikono yako imegusa maisha ya watu.
Kikubwa ni kutambua kuwa hakuna mwanadamu aliye kamilika chini ya jua.kila mtu ana udhaifu wake,makosa yake,upungufu wake kama mwanadamu. Hivyo kama wanadamu hatuna budi kusameheana, kusaidiana,Kuombeana heri na kumuomba Mungu atusamehe makosa yetu,atuongoze katika njia zetu na maamuzi yetu na kutufanya kuwa viumbe vipya katika matendo yetu yatakayo leta na kuchochea amani na upendo miongoni mwetu.
Hata mimi niliyeandika hapa nami ni mwanadamu ambaye sijakamilika kama alivyo kamilika Mungu,ndio maana kila siku kabla ya kulala namwomba Mungu anisamehe makosa yangu niliyo yatenda iwe kwa mawazo ,kwa maneno na hata matendo yangu.hivyo tusameheane na kuhurumiana.
Kipekee kabisa namuombea kwa dhati ya moyo wangu maisha marefu yenye heri ,amani na furaha Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan,Mungu aendelee kumjalia afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania,amlinde , kumpigania na kumtetea wakati wote.mkono wa Mungu na uso wake uwe pamoja na Rais wetu.amtangulie mahali popote aendapo.Mungu ndiye awe mlinzi wake,dereva wake na daktari wake.Mungu akawe ndani ya Moyo wa kila mtu amhudumiaye Rais wetu.chochote kifanyikacho kwa Rais wetu kikawe na kibali na mkono wa Mungu ndani yake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.View attachment 2925123
Kila nafsi itaonja mauti.Wazuri hawafi
Uligombea nini ukaiibiwa kura.Wote ni vibaka wa kura tu.
“ Man eat man society “!Urafiki wa mashaka!
Nenda kamuelimishe baba yenu Yusuf Makamba!Kila nafsi itaonja mauti.
Urafiki wa mashaka1980s kila Bar kulikuwa na ile Picha ya Urafiki wa Wanyama Simba anacheza na Swala na Chui anacheza na Pundamilia, nimeisahau Jina lake 😀😀