Keshamaliza kazi yake yeye sasa hivi anarelax anakula maisha yuko sahihi anaangalia maisha yake na familia yake sasa nyie mnataka aendelee kuwatumikia mpaka afe acheni hizo keshawatumikia mda wake umeisha anainjoy yeye na familia yake kwisha mambo ya mafoudation ni yenu mnayataka nyie always majibu yanayochukiwa ni yale ambayo yamejibiwa kutofautiana na matakwa ya msikilizaji