Hellow wana jamii F
Poleni kwa stress za maisha,
Direct to the topic ni kuwa,
Juzi tumesikia kijana kutoka kenya amekutwa akifanya mapenzi na ng'ombe na alipohojiwa alitoa sababu kuwa anaogopa wanawake wasije kumpa ukimwi,
Sasa kwa mtazamo wako unafikiri kwanini kijana huyu aliamua " kubaka " ng'ombe.
* domo zege na kutojiamini juu ya wanawake,
* hamu imezidi na nyege,
* upigaji wa nyeto mpaka kufikia hatua ya kubaka ng'ombe.
Vijana wetu wa Tz kuweni makini msije kuelekea huku kama kina jubilee party.
[emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]