Unajifanya huabudu freemason?

Status
Not open for further replies.
mshana this is too low kwa wewe kupost.. Uliyoandika na unayoandika yapo hapa kitambo na hata magazeti ya udaku yameandika sana,..... Sijui kwann umeanzisha mada hii. Ur above this level bro
 
mshana this is too low kwa wewe kupost.. Uliyoandika na unayoandika yapo hapa kitambo na hata magazeti ya udaku yameandika sana,..... Sijui kwann umeanzisha mada hii. Ur above this level bro

You may be right sexologist lakini leo nimepakua mapishi toka mtandaoni na kujaribu kuyaleta kwenye uhalisia...udaku unaandika as if ni mambo ya waganga wa kienyeji, hebu fuatilia picha zote kwa makini uone na maelezo niliyojaribu kutoa na viambatanishi vyake
 
Last edited by a moderator:

Haya mapicha ni ya wenyewe huko ninachofanya ni kuongezea kwa lugha rahisi
 
Ndo maana nikasema wataifata wale ambao wanaona ina manufaa kwao... lakini kama mtu unajitambua kamwe huwezi kuingia mkenge kwa mambo kama hayo...
 
Here we go again CONSPIRACY CONSPIRACY CONSPIRACY
 
Kuokoa nguvu na muda acheni kuangalia movies, michezo, acheni kutumia internet, simu, magari

Kuamini conspiracies ni mzigo mzito kuliko ujinga
 
Njaa ikiwa kali hakuna kitu kma free mason mi usanii tu..!
 

Mkuu Naunga Mkono Maelezo Yako.Hata Mimi Sijaona Hoja Yeyote Iliojengwa Na Mtoa Mada Zaidi Ya Kutujazia Tu Mapicha Yasiokua Na Maelezo Yeyote Ya Kina
Mimi Mpaka Sasa Sijaona Huo Uhusiano Wa Wood Football Na Hiyo Masonic.Na Hata Hizo Dots Za Kuunganisha Sizioni.
Mtoa Mada Alitakiwa Atupe Maelezo Ya Kutosha Kwa Sisi Ambao Hatujaelewa Kabisa Ili Na Sisi Tupate Mahali Pa Kuanzia Kujenga Hoja Uenda Tungemuelewa.Inaweza Kua Mtoa Mada Anahoja Ya Msingi Inayohitaji Tafakuri Ya Kina.Lakini Kutujazia Mapicha Yasiokua Na Maelezo Yeyote Ni Km Kujaza Uchafu.Sitak Kusema Mtoa Mada Amekurupuk Ila Ningemuona Atupe Ufafanuzi Kidogo Kw Sisi Best Vilaza
 
Hizi mambo ukizifatilia utachizi tu....Amini ukuu Mungu tu, hao wengine ni vimiungu/ vishetani hupaswi kuviogopa, fallen angels and Lucifer are hereon earth to deceive you!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…