kweli mkuu hata chakula/fOOD ni FreeMason, inauzwa sana
Najua mkuu Mshana Jr. Sema football imenishika pabaya, nahitaji maombi. Hivi hata kuangalia kwenye Vibandaumiza ni sadaka? Je kutazama na kushabikia ni ritual?
Si unalipa kiingilio lakini? Kushabikia ni ufuasi kitu unachojitenga nacho huwezi kukishabikia
kweli mkuu hata chakula/fOOD ni FreeMason, inauzwa sana