kuna jmaa anayo hisense alinunua mwaka jana mwezi kama wa tisa ipo ila ule uangavu umepote iko na brightness nyeupe sana hata kama pich ni ya maua ya kijaniMkuu umeitumia?
Duh aisee! Sasa hizi Samsung na Lg kwa sisi wa kipato cha kuunga unga ni mtihani.kuna jmaa anayo hisense alinunua mwaka jana mwezi kama wa tisa ipo ila ule uangavu umepote iko na brightness nyeupe sana hata kama pich ni ya maua ya kijani
then apps zinazingua kama youtube mara unfortunately has stopped anairestart kila mda haina zmuka sauti inakroma kama mtu yuko bafuni halafu anaongea
we ndio kama mimi nimejilipua nikaingia maduka ya kariakoo nimeinunua nasikilizia hapa km ni feki potelea mbali ili mradi wamenipa warrant basi mambo mengine baadae.Hata mi niliamua kununua Hisense, naona zimeingia kwa kasi. Niliamua kujilipua, potelea mbali. Nimenunua wiki iliyopita.
hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bombaDuh aisee! Sasa hizi Samsung na Lg kwa sisi wa kipato cha kuunga unga ni mtihani.
Lakini mbona hizi Hisense zinauzwa hadi sehemu za kuheshimika ambako hawauzi product za kichovu? Na hii ndo sababu ilonishawishi kuinunua. Kumbe nisubiri majanga.
Na wakati mwingine haya mambo ni kubahatisha. Hata lg inaweza ikakaa mwaka ikafa pia. Alaf hizi hisense zinauzwa hata kwenye maduka ya kuheshimika, hili ndo lilinishawishi.we ndio kama mimi nimejilipua nikaingia maduka ya kariakoo nimeinunua nasikilizia hapa km ni feki potelea mbali ili mradi wamenipa warrant basi mambo mengine baadae.
Naona Hisense inatengenezwa South Africa.hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bomba
ila katika makapuni hayo ya nchina wa kwanza nampa hisense,then TCL na starx
kuharibika izo kawaida haswa samsung kii kutoka mistari kama zile simu zao za s series na lg pia na ni cost sana kutengenezaNa wakati mwingine haya mambo ni kubahatisha. Hata lg inaweza ikakaa mwaka ikafa pia. Alaf hizi hisense zinauzwa hata kwenye maduka ya kuheshimika, hili ndo lilinishawishi.
chukua latest model tena dukani achana na kwa mtuNaona Hisense inatengenezwa South Africa.
Mi nimenunua Hisense frameless LED, mkuu unanitisha.hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bomba
ila katika makapuni hayo ya nchina wa kwanza nampa hisense,then TCL na starx
Hisense ina ubora wa kati mkuu, haijagikia level za kina Samsung na LG ila ni nzuri kuliko wachina wa kawaida.Mkuu samahani kwa usumbufu. Wewe unaongeleaje kuhusu ubora wa Hisense?
duh LED kwa uchumi wa kati pia freshMi nimenunua Hisense frameless LED, mkuu unanitisha.
Sawa mkuu, ngoja nione kama itafikisha mwaka walauduh LED kwa uchumi wa kati pia fresh
Ukishanunua kaa kwa kutuliaSawa mkuu, ngoja nione kama itafikisha mwaka walau
Model za 2021 ndo zipi hizo hizi 7 series au?hisense hizi frameless ziko poa yaani model latest za 2021 mfano UHD kwa nn nikakwambia ivyo kuna sehemu nyingi za kubet na vibanda umiza vya kuonyeshea mpira wanatumia izo na zinapiga kazi masaa mengi na ile dstv sio poa ila zile sijui LED achana nazo zinachuja ila LED za lg ,samsung na sony ziko bomba
ila katika makapuni hayo ya nchina wa kwanza nampa hisense,then TCL na starx
7na kuendelea ila 4k iko on fire badoModel za 2021 ndo zipi hizo hizi 7 series au?
Mi nilinunua wiki iliyopita Smart Tv UHD 4k 7 series inch 43 ambayo ni Frameless
Hizo ni settings unaweza rekebishaBinafsi Nina shida Kama week mbili zilizopita nilinunua smart TV Aina ya TCL lakini nikiitumiaaa Kuna muda inafika inajizima yenyewe mpaka niiwashe Tena kwa remote je nitatizo la kawaida au nishida msaada?
Hamna kitu wale wale. Ni TV zimepewa tu umaarufu ila kwenye quality bado sana.Vipi kuhusu Hisense mkuu CHIEF MKWAWA
Model za 2021 ndo zipi hizo hizi 7 series au?
Mi nilinunua wiki iliyopita Smart Tv UHD 4k 7 series inch 43 ambayo ni Frameless
[/QUOTEbei gani mkuu nijilipue
bei gani mkuu nijilipue ninunueModel za 2021 ndo zipi hizo hizi 7 series au?
Mi nilinunua wiki iliyopita Smart Tv UHD 4k 7 series inch 43 ambayo ni Frameless