Swiper
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 444
- 166
Mkuu, hii idea, kama vile umeniibia!! just a collusion of ideas, so far go a head!!Ahsante kwa idea yako mkuu, hasa hicho kipengele cha kwanza, ntalifikiria hilo...
1. Kwa Tanzania hili soko haliitaji kuangalia competitors is an virgin market, and all chances of being market leader.
2. The only analysis ni swot yako wewe service provider, that is all!!!
3. kuna unlimited customers pale tanzania, watu wengi wangependa kunywa bia wakiwa faragha, na wakifanya mazungumzo na siyo open space as used to be.
Mwisho nitapenda tuwasiliane zaidi ili tufanye supply chain, sababu najua kuna vitu utahitaji joint supplier, mfano, vinywaji, vyakula, n.k kwenye standard yako. hivyo kupunguza ukubwa wa management!! kama utapenda kufanya hivyo, ingawa pia I would suggest ufanye hivyo, ubaki na income ya chumba @hour na vinywaji, then chakula na warembo just commision investor mwingine, na mie ndo na fall humo!!
SP