VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,489 Reaction score 1,466 Aug 8, 2025 #1 Mapenzi ndo darasa pekee binadamu huingia na roho nzuri, lakini anatoka katili. Kwa nini? Mwalimu ndo hafai? Tena wengine unafundishwa na uchawi kabisa.
Mapenzi ndo darasa pekee binadamu huingia na roho nzuri, lakini anatoka katili. Kwa nini? Mwalimu ndo hafai? Tena wengine unafundishwa na uchawi kabisa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,787 Reaction score 1,251,526 Aug 10, 2025 #2 Aiseeeeeee