Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,144
- 162,539
Hili ndio swali ninalojiuliza.
Labda niulize: Hili nalo linahitaji ushauri au kutumia commonsense tu?
Kuna tofauti gani na mtu mwenye njaa anaenda kuomba unga kwa jirani wakati huo huo amemdhulumu jirani yake huyo shamba?
Hawa watu kweli wamekoma kisiasa au bado sana?
Mwenye majibu kama yupo.