Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,385 Reaction score 68,490 Oct 21, 2016 #1 Kama unaikumbuka na hujaoa au kuolewa basi ujue wewe Mungu anakuona.
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,252 Reaction score 18,448 Oct 21, 2016 #2 Ni nini hii?
1 1954 JF-Expert Member Joined Nov 14, 2006 Posts 11,274 Reaction score 13,790 Oct 21, 2016 #4 Mussolin5 said: Kama unaikumbuka na hujaoa au kuolewa basi ujue wewe Mungu anakuona. Click to expand... Weka na yule mwanamke mrefu aliyekuwa akicheza picha na hawa wawili...huyo wa kushoto ni red indian...
Mussolin5 said: Kama unaikumbuka na hujaoa au kuolewa basi ujue wewe Mungu anakuona. Click to expand... Weka na yule mwanamke mrefu aliyekuwa akicheza picha na hawa wawili...huyo wa kushoto ni red indian...
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 39,291 Reaction score 79,684 Oct 21, 2016 #5 Enzi hizo tulikua tunamuita huyo jamaa Linolenzi (sijui nmepatia kuandika maana kitambo sana) DTV hiyo
Enzi hizo tulikua tunamuita huyo jamaa Linolenzi (sijui nmepatia kuandika maana kitambo sana) DTV hiyo
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,360 Reaction score 13,466 Oct 21, 2016 #6 Castr said: Enzi hizo tulikua tunamuita huyo jamaa Linolenzi (sijui nmepatia kuandika maana kitambo sana) DTV hiyo Click to expand... Lolenzo
Castr said: Enzi hizo tulikua tunamuita huyo jamaa Linolenzi (sijui nmepatia kuandika maana kitambo sana) DTV hiyo Click to expand... Lolenzo
Dr Simba JF-Expert Member Joined Apr 27, 2016 Posts 997 Reaction score 1,245 Oct 23, 2016 #7 Hehehehe lenonzo lamas
Revola JF-Expert Member Joined Apr 14, 2015 Posts 1,542 Reaction score 1,365 Oct 23, 2016 #8 Topic kama hii nendeni katika mada zangu mtaikuta tumejadili mambo mengi sn ya zamani kuhusu vipindi vya itv, CTN, na dtv hapo zamani ni mada Nzuri sn watu wametupia pic nyingi sn za vipindi vya miaka ile please fungua angalia
Topic kama hii nendeni katika mada zangu mtaikuta tumejadili mambo mengi sn ya zamani kuhusu vipindi vya itv, CTN, na dtv hapo zamani ni mada Nzuri sn watu wametupia pic nyingi sn za vipindi vya miaka ile please fungua angalia