Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,568
- 3,667
- Thread starter
- #61
Ganja planter, call NE ganja farmerUzi unanuka Bangi
Ganja planter, call NE ganja farmerUzi unanuka Bangi
Skanka ni bangi ya moto sana. Kichwa kibovu mwezi tu anakuwa kichaa.Kumbe ni bangi, kuna user mmoja humu anajiita HOLY SKANKA nilikua najiuliza hili jina linamaanisha nini? finally nimejua 🙃😄
Skanka ni imported bangi sana sana inatoka South Africa.Mbegu zake zinapatikana wapi?
Duuh, vijana msivute bangi jamani.Skanka ni bangi ya moto sana. Kichwa kibovu mwezi tu anakuwa kichaa.
Hata yule SATIVA, sativa ni bangi. Anavyotukanaga matusi nadhani kuna namna jina lake linasadifu matumizi ya skanka.
Bongo shit au SK yenyewe?Mmea wa kondeni, mmea wa mitume na manabii upewe heshima yake, mmea wa mababu zetu. Niko nakunjua rizla taratibu nile kukumoshi.
One love.......Uzi wa wavutabangi😂
Dada, hakuna mahali mimi nimesema nalima bangi😀😀😀😀Duuh, vijana msivute bangu jamani.
Kama ni mbaya, kwanini wewe unailima?
Walaji wenyewe wanajua vitu vyao. Angali, utauziwa famba ukaambiwa cha Arusha.skuiz wanamix na madawa......with time idadi ya machizi wataongezeka maradufu