Unaijua shule hii....!!!

Sorry nimekosea ni mwisenge sio kamunyonge...nimechanganya...nimetoka kitambo ila shule naijua ilipo kama unaelekea majita karibu na ile hotel nzuri sana ya musoma.

kwani nyerere alisoma kamnyonge? Kwa kumbukumbu zangu nakumbuka kama niliwai kusoma sehemu flani ikisema ni mwisenge primary!
 
Sorry nimekosea ni mwisenge sio kamunyonge...nimechanganya...nimetoka kitambo ila shule naijua ilipo kama unaelekea majita karibu na ile hotel nzuri sana ya musoma.

Usipende kusema usiyoyajua,si kweli kwamba kama unaelekea majita ndo utakutana na mwisenge primary,but ni kweli ipo karibu na musoma hotel & pennusla hotel.
 
Hiyo shule inaitwa mtajijua pr school ipo mabwepande.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…