Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,623
Unaijua phishing link kwenye simu zetu
Je una hamu ya Kujua Nini kitatokea ikiwa umegusa link ambayo ni phishing attack kwenye simu yako ? Unajua kwa kugusa tu link unaweza kuingiza kirusi kwenye simu yako ?
Phishing link ni link ambazo zinatumika kuwaibia watu vitu vyao vya Siri bila wao Kujua unaweza kutumiwa kwenye email yako , ujumbe wa Kawaida au kwenye mitandao yako ya kijamii Ila kiuwalisia ujumbe huo unatumia na hacker au scammer (mraghai).
Sio rahisi kuwa salama maana anaweza tengeneza mitandao bandia kama Facebook , Instagram , Twitter Kisha anataka u login au anataka kufanya kazi na wewe , kutangaza bidhaa , kuongeza followers , likes nk.
Ivyo ukiona inaonekana Kama kweli maana utaona mfano imeandikwa www.facebook.beta.com ivyo ikiwa umeingiza taarifa zako utaibiwa.
Ikiwa mpaka Sasa ujajua phishing link unaweza kujikuta huko kwenye maji ya moto siku zijazo maana teknolojia inakua Sana na waarifu wanakua wengi.
Anaweza kuandika ujumbe wenye kukutisha na kukuogopesha ilimradi tu uingie kingi achukue anachotaka kutoka kwako.
Phishing link huwa inatumika sehemu tofauti tofauti [emoji116]
• anaweza kuiba taarifa zako binafsi
• anaweza kuiba maelezo ya Kadi za benki
• anaweza kukuibia password zako za kuingilia kwenye mitandao yako ya kijamii.
• anaweza kukuwekea kirusi kwenye simu yako
Anaweza kutuma ujumbe kwa mtu anayetaka kumuibia kwa kumuambia haweke app au software Fulani kwenye simu au kompyuta Kama vile VPN au app yoyote Ile kwa ajili ya jambo Fulani ikitokea Sasa umeiweka basi hacker anapata nguvu ya kufanya hatakavyo na kukuibia vitu vyako.
Jihadhari Sana sio Kila link utakazo ziona kwenye email, simu yako au mitandao ukataka kuifungia unaweza kuathilika na virusi bila kujijua ?
Teknolojia ni yetu sote View attachment 2229242View attachment 2229243View attachment 2229244