ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Hii ipo Tanzania tu, ni pale wizara chini ya usimamizi wa waziri husika na naibu wake inapoboronga, naibu waziri hubaki salama salimin klna mzigo wote humwelemea waziri husika!
Ni muda sana tumeshuhudia katka regime zote, wanaotumbuliwa huwa ni mawaziri kamili huku shughuli za wizara hufanywa na kuamuliwa kwa pamoja kati ya waziri kamili na naibu wake!
Naibu wa Muhongo ananafasi gani katika sakata la makontena ya mchanga?
yeye yu salama kwa kiwango gani hadi kadhia hii isimfikie?
Ni wazi nchi hii, "kiusalama na kiulaji" ni bora ujitulize katika nafasi ya unaibu waziri kuliko uwaziri kamili