Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,689
- 3,577
- Thread starter
- #341
Sikuona post yake.Alikujibu ?
Kama unakazi tuma mchoro nikupe makadirio
Sikuona post yake.Alikujibu ?
Kama bado hujapaua, nijulishe nikupe quotation.
bado sijapaua mkuu, najipanga mwisho wa mwezi nitakuwa nimepata hela. Nitashukuru ukipa quotation itanisaidia kuona kama niko tayari.Kama bado hujapaua, nijulishe nikupe quotation.
Sawabado sijapaua mkuu, najipanga mwisho wa mwezi nitakuwa nimepata hela. Nitashukuru ukipa quotation itanisaidia kuona kama niko tayari.
bati ni za versatile ALAF
Haya ni mashimo ya choo (septic tanks) ama?
Ndio.Haya ni mashimo ya choo (septic tanks) ama?
Mashimo hayo yasiyojaa yanakuwaje kwenye ujenzi garama na na nikweli hayajai unaweza ukapost hata picha yanavyokuwaKazi ziendelee
Gharama ya ujenzi hutegemea aina ya udongo wa eneo husika na vifaa vitakavyotumika. Kabla ya ujenzi, tunapenda pia kuangalia mazingira ya eneo ili kuhakikisha mfumo huu utafanya kazi vizuri na kudumu kwa muda mrefu.Mashimo hayo yasiyojaa yanakuwaje kwenye ujenzi garama na na nikweli hayajai unaweza ukapost hata picha yanavyokuwa
Bila mchoro hatuwezi kupata gharama halisi.Habari mkuu nahitaji kujua garama za nyumba ya vyumba vitatu , 2 bathroom, kitchen na sebule urefu 16m upana 5.5m area 88sqm ni kiasi gani kwa makadilio
Bila mchoro hatuwezi kupata gharama halisi.
Kama unachoro tunaweza share
Nimeitoa mtandaoni apo nimeona iko sawaBila mchoro hatuwezi kupata gharama halisi.
Kama unachoro tunaweza share