hapana hatupo,site ilikuwa katika matengenezo kidogo ndio maana lakini duka letu lipo mtaa wa india na zanaki.
Stock ya vitu ni vingi na ukitaka kitu tunakuwekea order yako ndio maana siwezi kuweka bei ya kila kitu hapa naenda na requests kwanza and then we will work from there...but ukiomba price list ya kitu na ukaprovide email address yako nakutumia as attachment. i hope nimeeleweka, ushauri wowote mwingine utapokewa. Shukran!:ear::ear: