hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 596
Uliza vizur sijakuelewaInamaana mnajenga sq"1 kwa 7500..loh!!!!huku kwetu tunajengewa kwa 3500 tu.
Tunaatikana mwanzaMpo meaneo gani
Nb. Paving tulizonazo squar metre moja zinaingia 35Inamaana mnajenga sq"1 kwa 7500..loh!!!!huku kwetu tunajengewa kwa 3500 tu.
35 Blocks x Tshs 150 = Tshs 5,250Nb. Paving tulizonazo squar metre moja zinaingia 35
Asante uko vizur35 Blocks x Tshs 150 = Tshs 5,250
Blocks Tshs 5,250/=
Kujenga Tshs 5,250/=
Jumla Tshs 10,500/= per Mita Sqr
Tuseme Baraza lina Urefu 10Mita x Upana 10Mita = 100Mita Sqr
Kwa Hiyo 100Mita Sqr zitahitajika Tshs 10,500 x 100 = Tshs 1,050,000/= gharama za vigae na upangaji.
Mikoani mnaweza kufika??Karibuni wadau
Tunapatikana mwanzaMikoani mnaweza kufika??
Okay poaTunapatikana mwanza