Unahitaji mbogamboga?

masause

Member
Sep 20, 2018
52
97
Habari waungwana

Hongereni kwa pilika pilika za kutwa nzima za kupambania maisha, natafuta wateja wa kununua mboga mboga aina ya chainizi
shamba lipo morogoro berega na linafikika kwa urahisi sana na hasa kwa wale wa kibaigwa, Dodoma Mjini, Morogoro Mjini na hata kwa Dar pia

Shambani nina 1-chainizi
2-nyanya chungu
3-pilipili hoho

Namba zangu ni 0684738720
 
Back
Top Bottom